Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii inatoka kwa kinabo tuliyempiga 4 - 2.

Hapa ni mawili ama huna akili au hauna kumbukumbu.

Huyo spurs unayesema tukikutana naye mara ya mwisho tunakutana kafa 3 na pale ilikua tuna tabia tukishinda tunarudi nyuma.

Huyo spurs game ya kwanza na liva kasuluhu na tukaona kweli kaimprove. Wiki mbili mbele anatolewa conference league.

Conference league.

Wewe eti unamuwazia awe uefa. Wewe ni kichaa?
mkuu jifunze kuongea na picha
433-20220421-0001.jpg

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Tukishinda leo, game na Spurs itakuwa haina pressure kubwa sana as tutakuwa 4points clear na pressure itaongezeka kwa Chelsea as watakuwa a point clear.

Japo hawa Leeds wana mpira fulani hivi, usipoangalia wanakuweka.
 
Kama tunahitaji nafasi ya tatu basi kilichopo ni kushinda games zilizobaki
 
Hatujawahi kufungwa na leeds.

Watakuja na hasira na confidence kutokana na mzunguko wa kwanza tulishinda ila tulionekana shaky.

So watakuja kutaka kuprove.

Wako na form mbovu kipindi hichi ila wanapambania uhai so hawana cha kupoteza. Watacheza ile ile style ya kushambulia mwanzo mwisho, ni juu yetu kupambana na kutuliza akili.
 
Mimi nawahofia, ila tukishinda leo game na spurs itakuwa na pressure ndogo kidogo.
 
Hivi hawa aseno wana hata ka UCL kamoja ..?
hawa wameridhika na makombe ya Arteta.
Hapa kwao wanaona Arteta amekabidhiwa kombe la dunia yaani AsaniAli wote wamefurahia.
Haya ndio mafanikio wanayoridhika nayo mashabiki wa hili timu, habari za PL na CL sio kipaumbele chao labda miaka 50 mbele.
tapatalk_1487869928_512x288.jpg
 
Leed united wana jambo lao leo saa kumi alasiri.
Leeds United hawana jukwaa humu ila leo tutawawakilisha humuhumu kwenye sebule yenu.
Haiondoi ukweli kua mmetoka kufungwa nne bila ikabidi mpaki basi ili zisiongezeke
 
Tukishinda leo, game na Spurs itakuwa haina pressure kubwa sana as tutakuwa 4points clear na pressure itaongezeka kwa Chelsea as watakuwa a point clear.

Japo hawa Leeds wana mpira fulani hivi, usipoangalia wanakuweka.
Yaani mtu utakuwa na 36 mwenzako37, bado unasema hutakuwa na presha!?. Duuh
 
Kimahesabu Everton wameshuka daraja, watafungwa leo na Leicester city, watafungwa na Arsenal. Fvck Lampard.
 
Yaani mtu utakuwa na 36 mwenzako37, bado unasema hutakuwa na presha!?. Duuh
Kimahesabu kama tunamfunga Leeds leo, tutakutana na spurs tukiwa na points 66 huku wao wana 62. Hilo litapunguza pressure kwa arsenal.
 
Back
Top Bottom