computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Arsenal
siuelewi uongozi wetu
Tusubiri ,kwasasa tetes Ni nyingi , after two weeks tutaanza kuona uhalisiasiuelewi uongozi wetu
hahahaha. Mwache wajina wangu. Anamatizo yake. Amekuwa successful kama player ila hajaweza kufaulu kama coach. Maybe ni wivu.Henry mbona ana wivu sana na Arteta
ANAMPONDA ARTETA KWANINI HAJAMPA NAFAS WILLIAM SALIBA
Thierry Henry on William Saliba’s Arsenal situation:
“I think it’s a real shame. They didn’t let him make a mistake. He was sent away without even being able to make a mistake. He didn’t have the chance to prove himself.” (Prime)
Henry huyu aliwaponda sana wachezaji kwenye usajili last summer yaani mtu pekee aliyemwongelea vizuri ni Lokonga tu😂 sababu Ni mbeligiji anamfundisha timu ya Taifa
wengine wote alisema ni usajili wa ovyo Arsenal haiwezi kupata hata nafasi ya Europa wakiwa na Arteta na wachezaji wale.
Ni Henry huyu huyu aliyesema Akiwa anaangalia game za Arsenal akimuona Xhaka uwanjani Huwa anazima tv analala😂
Xhaka alikuja kumwonyesha game 2 za Spurs na zote alikuja uwanjani hadi mtoto wake akawa anamnyoshea Xhaka mkono 😂😂 Henry likacheka tu.
Juzi game ya man u Henry alikuwa uwanjani Xhaka yuleyule akapiga dude akashangilia baadae Xhaka anapiga salute jukwaa lilelile alipokaa Henry 😂
.Yeye akipewa Ben white na Saliba atampanga Nani?
Akipewa Gabriel na Saliba atampanga Nani?
Ujue kuuongelea mpira ni kitu chepesi sana Ila kuufundisha na kuucheza ndio utajua maji yanapojitenga na mafuta😂
Alitaka Arteta ampange Saliba Hili asiache kumlaumu ,
atwambie kwann yeye alifukuzwa Monaco wakati anaujua mpira
View attachment 2210294
Villarreal huyu huyu auConfirmed Uefa Champions League 2022-23
Group F
1.Monaco
2.Borrussia Dortmund
4.Arsenal
5.Villareal
Just kiddingVillarreal huyu huyu au
hahahaha. Mwache wajina wangu. Anamatizo yake. Amekuwa successful kama player ila hajaweza kufaulu kama coach. Maybe ni wivu.
Weird theory: henry alicheza kama striker or winger aliyetegemea sana individual skills zake. Labda hakujifuanza nuances za teamwork na coordination. Midfielders wanajifunza kusoma movements uwanjani kwa wepesi zaidi. Huenda attitue kama hizi zikamkaa sana kichwani akashindwa kubadilika kwenye coaching hivyo kushindwa kuunda winning team. Hivyo anashangaa wenzake kina vieira na gerard na hata bwana mdogo tu arteta anapata mafanikio zaidi yake. Common factor ni hao ni midfielders na yeye ni striker. Labda kuna relationship kati ya player alicheza wapi kabla ya coaching na likelihood ya success katika coaching.
jersey mbna hazipo vizur kbsa aseeeee#Arsenal will release the home kit on 19th May and will wear it against Everton in the last game of the season. #afc
View attachment 2210985
View attachment 2210987
Ngoja zije wengine wanasema nzuri mbona, za mwaka 90sjersey mbna hazipo vizur kbsa aseeeee
kwangu mimi hii ndo kali sasa ctoiacha aseeeeeeArsenal’s tour of the USA will feature matches against:
• Everton (16 July, Baltimore)
• Orlando City (20 July, Orlando)
• Chelsea (23 July, Orlando)
Arsenal will release their away kit for the 2022/23 season as part of the tour of the USA in July.
View attachment 2211225