Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unpopular opinion; Interview aliyofanya Lacazette imemuharibia mahusiano yake na Technical bench, kwa hali ilivyo sasa hakutakiwa kukaa bench, No matter what!
Niliikosa hii mkuu. Laca aliongea na nani akasema nini? Aaron saidia hapa pia kujazia nyama.
 
Huyu dogo hapana mkuu. Acha aende tu
Huyu dogo Arsenal wasije wakajidanganya wakampa mkataba mpya , kwasasa timu inatakiwa isukwe na watu wapambanaji ,Kama Odegaard vile,

Ambao wapo Tayar kuacha asilimia 100 uwanjani,

Iwapo Arsenal watajiroga kumpa mkataba nketiah ,Ni waz watasajiri forward mmoja , matatizo yataanzia hapo
 
Hapana inategemea na vitu ving kwenye usajiri, Kuna kuhakikishiwa nafas, mshahara , n.k

Mm namkubali sana Ruben nevess,

Tieleman wa Leicester bila mpira hakabi , Amekuwa na tatizo Hilo ,

Kwasasa tukipata kiungo mwenye work rate kubwa ,anaye drive timu mbele , basi tutapiga hatua ,
tielemans simkubali kwa sababu sidhani kama ana nguvu za mwili ile kuweza kutumia body kulinda mpira au kutokuwa bullied off the ball kirahisi. Atashindwa kuhimili pressure ya wakabaji wanaokaba wachezaji wa arsenal
 
Niliikosa hii mkuu. Laca aliongea na nani akasema nini? Aaron saidia hapa pia kujazia nyama.
Alifanya Mahojihano na Canal plus

he said in an interview with CanalPlus: “I am in discussions with a lot of clubs. I am open.”

“I have never cut contact with Lyon since I left.” Lacazette continued. “I try to return to the club once or twice a year to see the medical staff because we are really close. Lyon knows that I am free, they have come to the information.“

“It’s a bit more complicated.” he said. “I want to play in Europe, it’s been a long time since I played in the Champions League, I’m missing it. It’s a little more complicated, nothing is impossible in life, but it’s a little more complicated.”

ARTETA KUELEKEA MECH NA CHELSEA AKAJIBU ,KWENYE PRESS , WAANDISHI WALIMUULIZA,

Speaking in his press conference before Wednesday's trip to Chelsea, Arteta said: 'His contract situation allows him to make the decision about his future.

Alexandre Lacazette will become a free agent after the expiry of his contract in the summer

Mikel Arteta said he expects Lacazette to be fully focused despite his uncertain future
'We have expressed clearly what our intention is, which is to speak to him in the summer when we know where we are and what we are going to do in the future together.

'For now, we want him fully focused on his duty, which is to defend Arsenal in the best possible way - like he has done every day since he has been with us.

'That's why he's been wearing the armband of this football club.
 
HENRY14 umeona Arteta alivyomjibu , toka hapo jamaa Ni bench,

Wewe Kama captain unakata tamaa ,karudishwa bench
 
Huyu dogo Arsenal wasije wakajidanganya wakampa mkataba mpya , kwasasa timu inatakiwa isukwe na watu wapambanaji ,Kama Odegaard vile,

Ambao wapo Tayar kuacha asilimia 100 uwanjani,

Iwapo Arsenal watajiroga kumpa mkataba nketiah ,Ni waz watasajiri forward mmoja , matatizo yataanzia hapo
kinachoniudhi ni tulimuoffer mkataba akakataa. Sasa ni mtu gani huyo wa kwetu aliyeona ni sawa kumpa nketiah mkataba mpya? Mambo kama haya ndio ndio tunahoji tunaambiwa tutafute timu ingine kushabikia
hahaha
 
Hahaa aligoma mkataba , walitaka wampe wamtoe mkopo , Kwa Leadership ya Arteta , hawez kupewa mkataba Tena ,si alidengua , hofu yangu tu wajiroge wampe , unakuta soko la usajiri gumu
 
HENRY14 umeona Arteta alivyomjibu , toka hapo jamaa Ni bench,

Wewe Kama captain unakata tamaa ,karudishwa bench
got it. Thanks. Ingawa mechi kama mbila za mwisho alizocheza alionekana kuzidiwa uwezo mpaka nketiah akiingia anaonekana bora na anaonesha anaweza kufunga. Nikawa nataka kusema laca awe dropped tu for nketiah ila nafsi inakataa maana dogo simkubali kabisa
 
Hapana inategemea na vitu ving kwenye usajiri, Kuna kuhakikishiwa nafas, mshahara , n.k

Mm namkubali sana Ruben nevess,

Tieleman wa Leicester bila mpira hakabi , Amekuwa na tatizo Hilo ,

Kwasasa tukipata kiungo mwenye work rate kubwa ,anaye drive timu mbele , basi tutapiga hatua ,
Kwako wewe tielemans na neves wakiwa mezan unaondoka na nani?? Na jinsi gani anatumika kwenye kikosi kwa sasa
 
Hahaa aligoma mkataba , walitaka wampe wamtoe mkopo , Kwa Leadership ya Arteta , hawez kupewa mkataba Tena ,si alidengua , hofu yangu tu wajiroge wampe , unakuta soko la usajiri gumu
weka hata balogun. Kale ka omari hutchison nadhani hakataweza premier league kwa sababu ya stature yake. Kanaonea huko pl2 ila hataweza maguvu ya pl
 
TAA
FODEN
MOUNT

Hawa nahisi bado wote wanafall kwenye group la Young Player
Labda TAA, Foden msimu huu hajawaka sana Kama msimu uliopita , Mount amekuwa Hana muendelezo , goli zake karibu zote amewafunga kina Norwich na kina Watford ,

Wiki mbili hizi wataweka nominees
 
weka hata balogun. Kale ka omari hutchison nadhani hakataweza premier league kwa sababu ya stature yake. Kanaonea huko pl2 ila hataweza maguvu ya pl
Yaan Balogun na yeye kule chin anawaoneaga sana Kama nketiah tu, wanajipigiaga hattrick ,

Balogun niliombaga apewe nafas , lkn nakumbuka msimu uliopita alipewa nafas ilikuwa nahis Europa ,hakuonesha utayari, ligi ilipoanza mech ya Kwanza na Brentford akapewa nafas , akazingua , baada ya pale akapelekwa loan ,

Kwa mech nilizomuona hata anakocheza mkopo Sasa middlesbroug ,sion akirud Arsenal na kupewa nafas ,Zaid atauzwa
 
We are doing fine.

Leicester kazi kaishindwa.

Liverpool akiishindwa basi haina budi kuivaa kazi ya kumdhibiti Spurs.
Liverpool haitamshinda hii kazi, akimtafuna nasi tukimtafuna ndio basi tena.
 
weka hata balogun. Kale ka omari hutchison nadhani hakataweza premier league kwa sababu ya stature yake. Kanaonea huko pl2 ila hataweza maguvu ya pl
Omary kale katoto kanajua sana toka kakiwa kadogo,

Pale academy ya Arsenal wanasema huyu mtoto ana kipaji kuliko hata saka , Arteta amekuwa alimleta afanye mazoez na senior team ,

Msimu ujao tutamuona ,

Charlie patino kwa eneo la kiungo lonahitaji nguvu sana. , Huyu anahitaji mkopo championship
 
🚨 Gabriel magalhaes priority is to stay at Arsenal despite interest from other clubs, and Arsenal are keen on signing Gabriel Jesus this summer. 🇧🇷 🔴 #afc

(via @FabrizioRomano 🌕)
 
Liverpool haitamshinda hii kazi, akimtafuna nasi tukimtafuna ndio basi tena.
Liverpool akishakuwa na Thiago na Fabinho wanakuwa wanyama sana ,

Naikubali sana ile mech ya Emirates , Partey alibishana nao sana pale kati, toka siku ile namuheshimu sana Partey ,

Totenham Jana kawekewa kikos Cha kawaida na Leicester lakin alikuwa anazidiwa sana pale kati,

Mpira una matokeo matatu, ila Ni Ngumu spursy kutoboa pale anfiled,

Tayari muhind kashampa Spursy odd ya 7
 
Huyu dogo Arsenal wasije wakajidanganya wakampa mkataba mpya , kwasasa timu inatakiwa isukwe na watu wapambanaji ,Kama Odegaard vile,

Ambao wapo Tayar kuacha asilimia 100 uwanjani,

Iwapo Arsenal watajiroga kumpa mkataba nketiah ,Ni waz watasajiri forward mmoja , matatizo yataanzia hapo
Oya sio siri Nketiah kwa performance ya jana binafsi kanishawishi, kadrop Champions league performance, naona anastahili rotation, alipiga mwingi sana dogo.
 
Back
Top Bottom