Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Dusan sijui mara ya mwisho kafunga lini ,Dusan na Locatelli wangeweza kua miongoni mwa wapambanaji wa Arsenal muda huu tupo top four ila wakaamua kwenda Juve ambako walikua na uhakika wa kunyanyua makombe.
Well, Juve yuko nafasi ya nne pia. So tupo hapa saa hii.
