Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kuna siku nilikuquote kwa kusema you are far better than me in football ukashangaa kwa kubisha.Ila kwa coment yako simply unathibitisha how legendary matured you are.
we learn from your thick and thin contribution as arsenal fans.big up mkuu
Am not better than anybody in here in anything. Wote tunashare observations zetu bila kujali how wrong they are. Kwahiyo funguka kila unachoona mkuu.
 
One word bro Castr MIRACLE kwa game zilizobakia game ni 1 vs Tottenham Hotspur basi other games ni players wenyewe sioni Arsenal akipoteza those 3 games ukiachana na ya spurs MIRACLE and congratulations all Arsenal fans in the world kwa kuqualify kwenye Europe competition (Europa league)football is blood of hell tumelose 3 games na then tumewin 3 games tena vs Manchester United Chelsea and West Ham kwa kweli hata kama sisi blood fans wa Arsenal na tupo against Arteta but nampa sifa zake kwa kweli sio muda wote wa kumkataa coach kwa hili ametuprove wrong wengi sana naanza kumpa 70 percent ya uaminifu na akipewa hela akasajili two strikers na viungo hata wawili na beki 2 na 3(hawa wanahitaji replacement coz waliopo muda wote hospital) may be may be tutaanza kuchallenge something kumfunga Manchester United Chelsea and West Ham in a row ni kitu kigumu sana but my team imefanya hivi ni MIRACLE COYG Castr

Nawatag Aaron Arsenal Will Jr Insigne Anigrain hawa jamaa walikuwa wanamuamini coach muda wote na sisi ambao tupo against Arteta tunasema kazi iendelee ameonyesha kuna kitu anacho kwenye akili na ameanza kutuprove wrong nilikuwa napa asilimia 20 now 70 kabisa na zitaongezeka tukifuzu champions league na hata asipofuzu kwenda Europa league si mbaya sana ila tutakuwa tumekosa mvuto kwa Big players ila for the sake ya timu yetu kufuuzu Europe competition ni raha sana Congratulations guys keep it up
Naomba niweke sawa kidogo.

Mimi sijawahi kumuona Arteta kilaza, nafikiri nilikua naongoza kukutajia big six aliowapiga, ila kutosajili January ndiyo nikaona katuchimbia shimo.
 
Umewahi itwa interview na ofisi ambayo umeshasahau uliomba nini?
 
Upcoming fixtures:

Tottenham: Liverpool (a)
Arsenal: Leeds (h)

There’s every chance we go to White Hart Lane with a 5 point gap.

Leeds match will be very very tricky. They are fighting for thier lives.
 
Arteta out Bandwagon and Arteta Brigade.... Where are you?

The wins have chased them into their shit-holes,,the position on d table have made them deaf & dumb,,they are trying hard on their wizardry to see if their will be a loss so that they will return back again to their default mode,,but they will be utterly disappointed bcos we are not just eyeing top 4,if Chelsea fucks up we are taking top 3 from them,,Arteta has come to stay so u either live with it or die trying,,,Coyg!!!
Hahahaha. Mkuu hebu tulia bhana
 
Upcoming fixtures:

Tottenham: Liverpool (a)
Arsenal: Leeds (h)

There’s every chance we go to White Hart Lane with a 5 point gap.

Leeds match will be very very tricky. They are fighting for thier lives.
Siku nyengine usisahau kuweka na fixtures za Chelsea tulinganishe.

Wale nao ni mwenzetu kwenye kunyang'anyiro cha kucheza UEFA ukiondoa Nyumbu tu.
 
Upcoming fixtures:

Tottenham: Liverpool (a)
Arsenal: Leeds (h)

There’s every chance we go to White Hart Lane with a 5 point gap.

Leeds match will be very very tricky. They are fighting for thier lives.
Leeds (hii timinga yake ni changamoto) wana hali tete na everton ni game ngumu sana, thou spurs anazo pia relegation threaten teams (BUNLEY) 15th May
 
Top 4
Tunahitaji ushindi wa mechi tatu tubaki top 4
Na huo ushindi moja wapo tumfunge spurs

Spurs pia ataangusha point kwa Liverpool

Arteta na vijana wake wafanye kila linalowezekana hapa

#COYGView attachment 2204395

Top 4 mtabakia ila kwa Newcastle points hapo lazima mtaacha Newcastle hapo nyumbani anafungwa na Liverpool tu, wengine ni vipigo kwakwenda mbele Newcastle wamekuwa bora sana kwa sasa.
 
Top 4 mtabakia ila kwa Newcastle points hapo lazima mtaacha Newcastle hapo nyumbani anafungwa na Liverpool tu, wengine ni vipigo kwakwenda mbele Newcastle wamekuwa bora sana kwa sasa.
Itakua mara ya kwanza tukimfunga nyumbani kwake?
 
computerarsenal at one point tulikua na wasiwasi na timu kuingia top 4. Mimi shida yangu ilikua kutosajili kiungo hili dirisha la january na wewe ilikua ni kumuona kocha mbovu.

Nafikiri tunatakiwa kujifunza na kukiri kwenda chaka hata ambangile anatakiwa akiri pia maana alidai hamuoni wa kumfunga chelsea.

Anyway, nataka kusema kwamba kocha amejitahidi kuziba gapes ambazo zilitakiwa kua exposed na kutosajili. Computer najua na wewe utaona wapi ulienda chaka.

Kuhusu Ramsdale na wengine msimamo haujabadilika, nina imani na kocha kuliko baadhi ya wachezaji.
Huu Ndio uanaume kukubali pale ulipoingia Chaka, hongera sana
 
kuna uwezekano Richarlison atapewa 3-match suspension kutokana na kitendo chake cha kurusha kitufwe chenye moshi kuelekea kwa mashabiki. arsenal mpo hapo?
 
Alexis Sanchez commenting on Xhaka Instagram post

IMG_20220502_073218.jpg
 
Top 4 mtabakia ila kwa Newcastle points hapo lazima mtaacha Newcastle hapo nyumbani anafungwa na Liverpool tu, wengine ni vipigo kwakwenda mbele Newcastle wamekuwa bora sana kwa sasa.
Newcastle nimemuona ,pamoja kuwekwa kikos Cha kawaida na Liverpool kazidiwa Kila kitu , Nilienda kumuangalia Newcastle ana nn kipya , kwa nilivyomuona tuna asilimia kubwa tukampiga ,maana Ni moja ya timu huwa tunajipigia miaka yote iwe home au away

Mech Ngumu ilikuwa dhidi ya westham

Leeds sijawaangalia toka wabadili Kocha ,
 
ukweli ulio wazi ambao najua wengi mtanipinga, hakuna mechi rahisi kati ya 4 zilizobaki.zote ni ngumu mno.
Epl siku zote hakunaga mech nyepes hata kama unacheza na Norwich

Mm niliona mech ya westham ndio Ngumu sana , Leeds anakuja Emirates tutafait tumpige , sijaiangalia Leeds siku za karibuni ,ila nimeona wanacheza 5-4-1
 
Newcastle nimemuona ,pamoja kuwekwa kikos Cha kawaida na Liverpool kazidiwa Kila kitu , Nilienda kumuangalia Newcastle ana nn kipya , kwa nilivyomuona tuna asilimia kubwa tukampiga ,maana Ni moja ya timu huwa tunajipigia miaka yote iwe home au away

Mech Ngumu ilikuwa dhidi ya westham

Leeds sijawaangalia toka wabadili Kocha ,
I repeat Arsenal kwa mpira wa sasa game ngumu ni vs Spurs akimpiga spurs au kutoa sare anafuzu champions league problem inakuja Leeds na Everton wapo kwemye relegation zone but kimpira na kimbinu Arsenal is the best
 
Yah kimbinu naona hizi middle teams tunazikamata vzr ,

Spurs nimemuangalia mjanja mjanja sana , hiyo mech Kama mm ndio Arteta naenda na Lacazette na sio Nketiah , ushindi mapema

Nketiah Kila akipata mpira anapiga ,
 
Back
Top Bottom