Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,721
Usajiri ndio ulivyo kote duniani,Namaanisha zile sarakasi za 'tunamtaka fulani, negotiations done, bid submitted...- tunadhani mchezaji anatua emirates kesho asubuhi...Ghafula story ingine inatokea. That's what i meant. Jesus si mbaya kwa nketiah, hapo sina shida. Mie nilihoji zaidi juu ya kumtaka abraham.
Abraham nimemuangalia dhid ya Leicester juz, Kuna kitu Arteta kaona kwake ,
Btn the lines wanaomkataa Abraham ,sababu zao Ni sababu alitokea chelsea , mm napenda sababu technically , vipi anafit au hafit , Kama Will Jr anavyotoa mitizamo
Strikers wote tunaowataka chunguza utagundua Ni warefu, hiyo Ni sifa moja wapo , Nyingine awe ana weza kulink up,
Arteta just gave us a updated he might not be back this season for Arsenal