Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,721
Leeds mlaini tu mbona , anaacha magepu sana ,Mpira anaoupiga Leeds dhidi ya City, naogopa kusema kama tutaweza kupata point tukicheza nao.
City anapigiwa pressing mpaka haelewi anabutua butua tu. Wachezaji wa Leeds ni kama cherehani vile walivyochangamka.
Sitoshangaa City akisuluhu au akipoteza hii mechi japo anaongoza.
Jesus kashawaweka chuma Cha 3 , beki zinalaumiana