Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,721
Wachezaji Kama hawa Ni Kama Alonso wa Chelsea , hawajui kukaba kabisa , uzuri wa Alonso anajua kupiga na kufunga ,Tavares ana pace ila haitumii kumsaidia kukaba yeye anaitumia kuestablish presence yake kwenye box la mpinzani.
Tavares ana pace ,anajua kufinya , ila mashuti Ni zero,
Mech ya Chelsea kapewa pass na Cedrid ,goli analiona alipiga utumbo, mech ya man u kamfinya mtu kwenye box , kapiga shut utumbo
Akirekebisha hayo maeneo atakuwa vzr
