Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee wenzangu, napita kijiweni nakutana na tetesi za ronaldo kutakiwa na arteta, nimejaribu kucheli vyanzo vyangu vya uhakika kwa haraka haraka sijaona mahala, hebu nipeni habari kamili.
Na wewe umeamini!

Hii Arsenal inayojengwa kwa vijana wachanga tuje kuchukua zee la miaka 60 linalomalizia kula pensheni yake kweli?
 
Sijaleta kama habari, nimeleta kama swali.

Ila uzee wa cr7 sio ujana wa nketiah, arsenal hii hii, kama tungekuwa na ronaldo kuna jambo kubwa lingekuwa limeongezeka mzee.
 
Kama nimekuelewa hivi

Ila nisome hapa

Ukiwa na vijana kama saka, Rowe, nketiah
Kwenye backs kama za man city na Liverpool lazima watanyanyasika

Pitia game ya city vs Madrid
Utagundua umuhimu wa mtu kama benzema

Jana vijana wa unai walinyanyasika sana kwa backs za Liverpool
Real Madrid, Don Carlo si kocha mzuri kwa modern game that's why timu imerely kwenye individual quality, so bila Benzema/ Vini Jr/ Modric kustep up basi hakuna results, sasa huo sio mpira. Sipendi timu inayotegemea wachezaji Special, napenda timu icheze as Collective.
 
Sijaleta kama habari, nimeleta kama swali.

Ila uzee wa cr7 sio ujana wa nketiah, arsenal hii hii, kama tungekuwa na ronaldo kuna jambo kubwa lingekuwa limeongezeka mzee.
Hakuna kitu kama icho mkuu, huyu Ronaldo ndio aliyemfukuzisha Ole Solskjaer, hakuwa kocha mbovu kiasi kile, dingi wa watu alijenga timu Ronaldo akaja kaua kila kitu. Unajua Structurally huwezi kucheza na two luxury players, uwepo wa Pogba, Bruno & Ronaldo unainyima United balance, so solsjaer akafukuzwa. Ukitaka kuamini nachisema subiri Erik Ten-hag uone treatment yake kwa hawa wachezaji watatu itakuaje, utajifunza kitu.

Nimemwambia mkorea mchezaji anayeipa timu balance ni bora kuliko mchezaji mwenye uwezo binafsi kwa level ya juu ila haleti balance structurally, Tammy Abraham, on paper analeta balance that's why unaona Arteta anasumbuka naye since last summer window. So Ronaldinho na uwezo wake wote mkubwa ila kwa game ya leo usingeona anacheza timu ya pep Guardiola/ Jurgen klopp, why ? Simply, hakupi balance.

Psg ina Messi / Mbappe & Neymar lakini wanastruggle against Pep Guardiola's team, so na mzigo anatupiwa Pochettino kwamba kocha mbovu wakati timu ina three luxury players manake off ball timu inadefend na watu 7, kumbuka hii timu ilimshinda hata Thomas Tuchel masterclass, kwa game ya leo watu wanafanya zonal marking wanapress collective as a blanket sio man to man kama miaka ile, ukiwa na wachezaji lazy utapigwa na utapasuka hata ikiwa wana majina makubwa paka mbinguni wanajulikana.
 
Tunatofautiana mnoo maono, unachosema wewe unakiona kuna usahihi lakini haifanyi kazi muda woote, kuna timu ishakuwa na staa zaidi ya mmoja na zikafamya vizuri tu.

Mie nasema uzee wa ronaldo sio ujana wa nketiah wala abraham, ronaldo ni mtu mpambanaji haswaa, kuwa na mtu kama yule kwenye timu ni jambo jema saana.
 
Ulitakiwa kuelewa kwanza nini maana ya timu labda ungenielewa ninachojaribu kusema, hatufananishi ubora wa mchezaji mmoja mmoja, yes ofcourse, Ronaldo ni bora kuliko Nketiah, sio Nketiah tu ni bora kuliko hata Saka, ila Saka ni muhimu kwenye structure ya Arteta kuliko Ronaldo.

Kuwa na high individual quality hakukupi guarantee ya kuwa bora structurally, unaweza kumuangalia Nico pepe, au unahisi anaonewa kuwekwa bench na Bukayo Saka? Structurally Cavani ni bora kuliko Ronaldo, how? Ukianza na Cavani unashinda 1-0 unachukua point 3, ukiwa na Ronaldo anafunga goli 3 then unafungwa goli 4 na hupati point, so kipi bora? United ikiwa na Cavani Upfront ilimaliza 2nd, kaja Ronaldo sijui wapo nafasi ya ngapi now, itakuwa Ole Soskjaer ni mbovu, Btw simchukii Ronaldo najaribu kuandika tu.
 
Mzee bado unabumba bumba tu vineno ili mawazo yako yawe sahihi.
Haya tufanye wewe ndio upo sahihi zaidi.

Kukusaidia tu, maana ya team naifahamu na huo ubora wa ronaldo nauzungumzia kwenye timu, sio mchezo wa gombania goli, kivyovyote vile bado ronaldo na uzee wake ni bora kuliko nketiah mara elfu, kaishathibitisha hiki kwenye timu tofauti, na ninacholenga mimi, katika timu yetu ambayo tunatengeneza clear chances zaidi ya 5 kisha hatupati goli, tunahitaji mtu wa kubadili clear chance kuwa goli.

Kwahiyo unataka kusema ronaldo ndio kaifanya Manchester iwe hovyl!? , kuwa serious mzee, haya huyo ronaldo kaondoka juve kawaacha na hali gani, kwahiyo ronaldo ndio kamfanya MAGWAYA awe MABOKOLIKOLO, hivi we ronaldo unamjua kweli, isije kuwa unamzungumzia jamaa mmoja tu hapo mtaani kwenu anajiita ronaldo, mimi namzungumzia CRISTIANO RONALDO, CR7. umecheki game ya chelsea!?

Sasa nakuuliza swali, je kivipi cr7 anaigharimu timu ama kaifanya kuwa mbovu kama ulivyodai hapo juu, with vivid examples au iwe mathematically proved

Uzee wa ronaldo sio ujana wa nketiah, ronaldo na uzee wake bado mpambanaji kuliko huyu mtoto wa juzi, mtoto yupo uwanjani karidhika kabisa, timu inatoka bila matokeo huoni hata nafsi yake kuwa na masononeko, ahhh, we mzee wewe(in sheikh kipozeo's voice)
 
Top 4
Tunahitaji ushindi wa mechi tatu tubaki top 4
Na huo ushindi moja wapo tumfunge spurs

Spurs pia ataangusha point kwa Liverpool

Arteta na vijana wake wafanye kila linalowezekana hapa

#COYG
Screenshot_20220429-072222.jpg
 
Kwanzia Sasa tukiacha "Arse8" kwa Sasa litakuja "Matusi FC"
Hakuna namna Sasa maana matusi yamezidi humu.
 
Wazee wenzangu, napita kijiweni nakutana na tetesi za ronaldo kutakiwa na arteta, nimejaribu kucheli vyanzo vyangu vya uhakika kwa haraka haraka sijaona mahala, hebu nipeni habari kamili.
Hakuna hizo habari ,ila Kama chance ipo ya kumpata ,unamchukua

Hata pep alipopata hiyo nafas aliichangamkia ,, Man u yakamuharibia
 
Mwisho wa msimu huu ndio utakuwa mwisho wa refa wetu dhidi ya Westham, kuchezesha EPL, Mike Dean. Marefa wengine watakao staafu ni Jon Moss, Martin Atkinson na Andre Mariner. Hawapotei kabisa watakuwa VAR.
Wewe uta-miss nani kati ya hao?
 
Yani hilo Jon Moss bora listaafu lisipendagi kwelikweli likichezesha game zetu.

Mungu azidi kumueka Michael Oliver akichezesha mechi zetu ushindi lazima.
 
Atkinson namkubali sana uwa yupo upande wtu sana

Back
Top Bottom