Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Negotiations have begun to make Bellerin move to real Betis permanent. Arsenal have asked for €10m
 
#AFC are going to sign 2 strikers this summer.

#1 A a hybrid type forward (Eg.Gabriel Jesus who we're in talks with)

#2 Focal point forward (Eg. Tammy, DCL and a few others)

Nothing decided yet on specific names.

[@charles_watts YouTube channel]
 
Cedric Soares ‘will leave Arsenal at the end of the season’. Porto have already made a proposal of less than €5m, with Newcastle United also among the clubs interested, due to the player’s ‘flexibility’ to operate in multiple positions. [@TuttoMercatoWeb via @Sport_Witness] #afc
 
Arteta anataka nini kwa Tammy? Au kaona nini?
Haya ndio maswali makuu ya kujiuliza

Ameona backs za EPL bila kuwa na mtu kaliba ya (drogba, Suarez, Aguero, delima, lewandosk) kuna game mambo yanaweza yakakugomea
Nachomaanisha angalia backs za man city, Liverpool, Brighton. Unaweza ukawa unapata picha

Martinel au Jesus ata awe mzuri vipi akikutana na van D, bas usitegemee makubwa
Ila Jaribu kuvuta picha usumbufu wa Suarez akikutana na huyo huyo van D. Lazima wajipange

Lacazette amesha feli, good to say goodbye

Tammy ni suluhisho kwenye backs kama Liverpool, city?
Tammy anaweza ku-link na team kwenye build-up?
Vipi kuhusu injuries???
Price tag hii tunayoiona au itashuka?


Kuhusu Tammy nashauli tuwe subra kidogo the gunners
No mkorea, tatizo unaangalia mpira kama a one man show, yaani Aguero acheze na Van dijk / Mahrez acheze na Reece James, big No, mpira siku hizi unachezwa Collective / as a teamwork, Arteta anatafuta mtu wa kufill gap kwenye structure sio wa kuja kuonekana yeye ndio bora kwenye structure, so Tammy anaqualities zote anazohitaji Arteta.
 
No mkorea, tatizo unaangalia mpira kama a one man show, yaani Aguero acheze na Van dijk / Mahrez acheze na Reece James, big No, mpira siku hizi unachezwa Collective / as a teamwork, Arteta anatafuta mtu wa kufill gap kwenye structure sio wa kuja kuonekana yeye ndio bora kwenye structure, so Tammy anaqualities zote anazohitaji Arteta.
Kama nimekuelewa hivi

Ila nisome hapa

Ukiwa na vijana kama saka, Rowe, nketiah
Kwenye backs kama za man city na Liverpool lazima watanyanyasika

Pitia game ya city vs Madrid
Utagundua umuhimu wa mtu kama benzema

Jana vijana wa unai walinyanyasika sana kwa backs za Liverpool
 
I support this!

Aaron Arsenal nimewahi kueleza unahitaji kuona sajili tu pasi ya kufahamu nani anasajaliwa (Its like utoke useme Arsenal tumesajili to other teams fans blah blah)

Niliwahi kukueleza humu Willian ni worst blah blah zikawa nyingi matokeo uliyaona before that nilieleza Pepe matokeo tunayaona.

Fuatilia comments zako kuhusu Torreira, Mari, Maitland Niles, Saliba wakati wanasajiliwa na wakati wanaondoka unaweza kupata kujielewa ni mtu wa callibre gani.

Abraham sio mchezaji wa kucheza Arsenal tafuta zipo a lot of facts na factors, Abraham ni Seria A league na other farmers leagues player.
1651095117155.png


1651095197540.png
 
Recruitment team inabidi ivunjwe iundwe upya Dunia hii imejaza a lot of strikers eti Thursday wanaenda kumscout Abraham?sisi wengine tunakaa kimya hata huyo Edu anajua kungata na kupuliza utashangaa Nketiah ndio main striker next season

Tutapigiana kelele humu JF wakati Edu na Management kwa ujumla ni business as usual kama January ilivyopita tulipigiana Kelele humu Registation window ikapita hamna mchezaji mpya
1651095479195.png
 
Wazee wenzangu, napita kijiweni nakutana na tetesi za ronaldo kutakiwa na arteta, nimejaribu kucheli vyanzo vyangu vya uhakika kwa haraka haraka sijaona mahala, hebu nipeni habari kamili.
 
Sasa Aaron Arsenal anasema Tammy kwakua katakwa na kocha mimi ni nani nione hafai.

Hakuna namna tutalingana mawazo.

Mimi ni miongoni mwa wenye imani na Arteta ila hainizuii kutoa maoni. Alitakwa Lewin nikasema, Locatelli, Vlahovic n.k kwanini tumefika kwa Tammy Aaron anakua mkali anaandika maneno ya jikoni?

Kwamba ana umiliki na Arsenal sasa.
1651098339747.png
 
Neuer anasajiliwa Bayern alikua anazomewa msimu mzima au nusu msimu.

Kocha aliona potential akamsajili Neuer lakini mashabiki wakawa wanazomea.

Leo Neuer yuko wapi?

Yeye kocha kuona potential hainizuii shabiki kusema ninachoona na mimi naona Tammy hana ukali huo.
Tammy abraham hapana kabisa!.. Ila kwa Jesus, Arteta ahakikishe anakuja!.. Huyu jamaa ni chombo!.. Mimi namkubali sana mwamba
 
Back
Top Bottom