Uchizi ni kusupport vitu blindly.I support this!
Aaron Arsenal nimewahi kueleza unahitaji kuona sajili tu pasi ya kufahamu nani anasajaliwa (Its like utoke useme Arsenal tumesajili to other teams fans blah blah)
Niliwahi kukueleza humu Willian ni worst blah blah zikawa nyingi matokeo uliyaona before that nilieleza Pepe matokeo tunayaona.
Fuatilia comments zako kuhusu Torreira, Mari, Maitland Niles, Saliba wakati wanasajiliwa na wakati wanaondoka unaweza kupata kujielewa ni mtu wa callibre gani.
Abraham sio mchezaji wa kucheza Arsenal tafuta zipo a lot of facts na factors, Abraham ni Seria A league na other farmers leagues player.
Hakuna wa kumtoa Xhaka labda kocha amue kumuondoka kwa sababu zingine ila sio nafasi yake kuchukulia. Yule jamaa ni akili tu huwa zinamruka na kufanya upumbavu wake ila yuko njema sanaNdo kusema Xhaka atakua mashakani kama deal la Neves likikamilika



Jesus hata wakitoa 100 ni affordable kwa shughuli yake uwanjani£25m-35m kwa Jesus ni pesa nyingi?
Tena nasikia Arsenal watatoa €30-35m tu , maana kabakiza mwaka mmoja
Gabriel Jesus, this season:Jesus hata wakitoa 100 ni affordable kwa shughuli yake uwanjani
Likija swala la usajili, Arsenal sio timu ya kuamini hata kidogo. Dirisha likifunguliwa ni tetesi hadi mwisho.
Subiri uone saga la Jesus, linaweza kwenda hivi hadi dirisha lifunguliwe hadi lifungwe. BTW mimi nasapoti Jesus kuja Arsenal, he's an upgrade.
Arsenal kwenye usajili wanakera mno mno.
Neves akitua Arsenal ntafuri sana jamaa namuelewa sanaNdo kusema Xhaka atakua mashakani kama deal la Neves likikamilika

he can still push for departure depending on the contract clauses on that subjectR
Rice inaonesha haondoki, Moyes kasema bila £150m haondoki
Aaron Arsenal atakuja na tetesi hapa kuanzia dirisha linafunguliwa hadi linafungwa...inaudhi sana!!Wewe unaijua arsenal vizuri kwenye suala la usajili. Tunapewa matumaini ila mwishowe huzuni
Hehehe. Ila tetesi zake zinachangamsha uzi maana tunapata cha kujadiliAaron Arsenal atakuja na tetesi hapa kuanzia dirisha linafunguliwa hadi linafungwa...inaudhi sana!!
Unakereka ndugu?Aaron Arsenal atakuja na tetesi hapa kuanzia dirisha linafunguliwa hadi linafungwa...inaudhi sana!!
Naudhika kuona tetesi za wachezaji ambao kimsingi tunawahitaji, in the end zinabakia kuwa rumours tu..hilo linanikera!Unakereka ndugu?
Sio Kila tetes au mchezaji lazima atue, nafas moja Kuna weza kuwa na majina hata 7 , anayetakiwa mmojaNaudhika kuona tetesi za wachezaji ambao kimsingi tunawahitaji, in the end zinabakia kuwa rumours tu..hilo linanikera!