Mesut90
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 537
- 627
It's good tumeshindaHii game Cedric asipotolewa tumefungwa wakuu
It's good tumeshindaHii game Cedric asipotolewa tumefungwa wakuu
Kuna ubaya nkiwa PSG na Arsenal?sababu sioni kama timu yetu ya Arsenal ya sasa ina cha kujivunia kama unavyotaka kusema but tunaipenda because ndio among the first teams ambazo tunakua tunashuhudia zinacheza Arsenal sio(Bayern Munich Real Madrid Manchester City)bro so relaxHuyu jamaa ni kweli alienda psg, angekuwa muungwana angebaki huko huko ,na si kusumbuana na watu humu
Zile 9 tulikua tunachukua zote yaan, cjui kilitokea nn? Ila ndo mpirawazee zile game tatu tungeshinda hata moja tungepunguza presha ya top 4
Huyu ni malaya tu wa kimpira. Atasubiri timu ifungwe aje na migazeti yake hapa kumdiss kochaI told you Arsenal tuna brilliance ya kumshinda yeyote na mifano nikakupa.
Too bad hukushuhudia. At least unashuhudia hizi wiki mbili.
Timu yenyewe mnabihsania ni Arsenal, leo kwenye stuli, kesho benchi na keshokutwa ICU. Hadi mnatukanana kwa sababu ya timu isiyotabirika> OK tuone bado mechi kadhaaI told you Arsenal tuna brilliance ya kumshinda yeyote na mifano nikakupa.
Too bad hukushuhudia. At least unashuhudia hizi wiki mbili.
Ndio ninahomwambia hapa. Asiwe malaya wa kimpiraHuyu jamaa ni kweli alienda psg, angekuwa muungwana angebaki huko huko ,na si kusumbuana na watu humu
Naomba tumsamehe Mesut90 binafsi naomba samahani kwa wadau wote kwa lugha chafu sisi ni Arsenal fans haifai tutukanane maadui wapate cha kusema sorry GuysSisi sote ni wana Arsenal, tunaoitakia mema timu yetu.
Matusi ya nini?
Ila mtu anayetukana huyo hafai kuwa shabiki wa timu yeyoteNaomba tumsamehe Mesut90 binafsi naomba samahani kwa wadau wote kwa lugha chafu sisi ni Arsenal fans haifai tutukanane maadui wapate cha kusema sorry Guys
Alafu Xhaka anakaa wapi mkuu!!!???Elneny dropping man of the match performance.
Sijawahi mpinga huyu.
Sasa muweke na Partey uzidi enjoy game.
Huyo dogo ni mzuri sana na kila wakiwa kwenye form yeye na Odegaard mara nyingi huwa tunapata matokeo ya ushindi.Oya naona mnasifia wachezaji mnaowapenda tu, Castr na Elneny & isajorsergio na Xhaka, ok, mi nipo na Bukayo saka, the best RW in the league apart from MO Salah![]()
Ilishawork.Partner yao inaweza ku work vizuri ?????
Mi hua nasifia wachezaji ambao mchango wao huuoni mpaka ufocus kumtazama yeye tu.Oya naona mnasifia wachezaji mnaowapenda tu, Castr na Elneny & isajorsergio na Xhaka, ok, mi nipo na Bukayo saka, the best RW in the league apart from MO Salah![]()
Lembua wewe bado mdogo sana huwezi elewaTimu yenyewe mnabihsania ni Arsenal, leo kwenye stuli, kesho benchi na keshokutwa ICU. Hadi mnatukanana kwa sababu ya timu isiyotabirika> OK tuone bado mechi kadhaa
Kuna dada amejaribu kuingia humu kakimbizwa na matusiIla mtu anayetukana huyo hafai kuwa shabiki wa timu yeyote
Mpira ni utani na kujenga mahusiano sio uadui
️ unadunda pressure zinaanza upya next games Arsenal vs West Ham and Spurs vs Leicester 