computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Ok my question naona umekimbia hili why Guardiola anatoa Mamilioni ya Paund kwa ajili ya Haaland?wakati ana JESUS?uliyoyasema sijakataa but why ana spend more than 100M Paund wakati JESUS yupo ?why?Siwezi kuwa na majibu ya kichwani mwa pep lkn naweza kujibu kutokana na mazingira ya football:-
1. Yawezekana anataka kumuuza kwa kuwa hampi kile kitu anachokitaka/alichokitarajia na inaweza yasiwe magoli peke yake maana km issue ingekuwa ni magoli basi misimu kadhaa asingeachana na aguero na kubaki na Jesus
2. Anahitaji kuongeza striker hivyo kupunguza gharama inamfanya aondoe mtu ili mwingine apate nafasi na kwa vile pep sio muumini wa strikers hivyo haoni sababu ya kuwa na idadi kubwa ya striker ambao hawezi kuwatumia. Kumbuka pep ni muumin mkubwa wa viungo ndo maana utakuta anaweza cheza gem bila striker hata moja.
3. Inaweza kuwa ni sababu ya mchezaji mwenyewe baada ya kuona pale City kuna ushinadani mkubwa na hakuna mwenye uhakika wa namba ya kudumu hivyo akaona bora kuomba kuondoka ili aende sehemu ambayo ushindani sio mkubwa hivyo anaweza akapata fursa ya kucheza/uhakika wa namba.
Na kumbuka kuwa mchezajia anapohama timu sio kwamba ni mbovu ila kuna sababu zinazomfanya asifanye vzr lkn akienda sehemu nyingine anafanya vzr hapo sina hata haja ya kutoa mifano maana ipo mingi mno. Haya na wewe tuambie unadhani kwanini pep anataka kumwachia Jesus
For example Kane angekuwa amepatikana last season Manchester City unafikiri Pep angetoa more than 100 M paund?this season?no nway sitaki kubelieve hili
