Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu me najibu hoja yako ya kusema Jesus uwezo mdogo na hajawahi kuscore goal 10 per season, sikuwa na maana kwamba Jesus ni striker sahihi Kwa arsenal

Na kitu kingine ni kwamba mpira ni system/chemistry, ndomana Tottenham Wana Kane Kwa zaidi ya miaka 4 ila hakuna la maana wame achieve amebakia na ubora wake na sio ubora wa team ndomana Pep kafanya makubwa akiwa na huyo Jesus ata kabla ya kumtaka huyo Kane na Haaland Kwa sababu ata katika absence Yao bado Man city ni Bora

Me waga nakubaliana naww baadhi ya sehemu ila sehemu moja Tu ndio waga naona unazingua na kama Una chuki Tu na Arteta, huwezi kumkompare Arteta na Tuchel Kwa aina ya wachezaji wa Arsenal, tufanye anaondoka Arteta alafu wachezaji wabaki wale wale unadhani akija kocha gani atafanya ambayo wewe unahisi Arteta kashindwa na Hilo jopo na wachezaji

Unaongelea experience ya ukocha bila experience na ubora wa wachezaji we huoni Kama unazingua, Tunakubaliana wote Mourhino ni best coach duniani ila alishwindwa nini Tottenham? Unamfatilia huko series A? Unajua kapata points ngapi dhidi ya team za top 6? Je nayeye ni mbovu kama Arteta?

Ifkie hatua tuache personal attacks na tuongee uhalisia, Kwa Aina ya wachezaji ambao Arteta anao Leo hii yupo anapigani top four na Man u na Tottenham we unaona kuna usawa wa quality, Maturity na depth?
Ntakujibu mpira ukiisha kwa sasa tuendelee kufuatilia game ni HT
 
Arsenal utoto sijui utaisha lini.
Unategemea utoto utaisha wakati litimu lenu lenyewe linatambulika ni baby care.
Subirini Ronaldo awatie goli 2 kipindi cha pili ndio akili itawakaa sawa.
 
Good pressing but we need to be more organized at the back as we bring Holding/Tomi for Cedric and be more clinical at the front … keep Eddie on till 80th minute and in the 70 minute I would love to see Gabie running to Dalot ….. Saka ohh Saka
 
Unategemea utoto utaisha wakati litimu lenu lenyewe linatambulika ni baby care.
Subirini Ronaldo awatie goli 2 kipindi cha pili ndio akili itawakaa sawa.
Siwezi kushangaa arsenal akipoteza leo. Utoto utaisha kroenke akisepeshwa.
 
Back
Top Bottom