Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yani unanita Dogo lakini waulize wanaonijua King Ngwaba hapa JF watakwambia wakati Nafunga Ndoa kwa mara ya kwanza Nina uhakika Babayako ndiyo kwanza yupo Sekondari huko anamwagilia Bustani.

TURUDI KWENYE MADA:

1) Pep Guardiola aliposhinda Makombe Barcelona ya Ndani na Yale ya Ulaya alikuwa na Uzoefu wa Miaka mingapi?

2) Mauricio Pochetino alikuwa na Uzoefu Mkubwa zaidi kwenye EPL na CL kuliko Klopp lakini kwanini hakuwahi kushinda hayo Makombe badala yake Klopp kashinda yeye?

3) Kwanini Pochetino aliyeshindwa kupata Kombe lolote akiwa Spurs anafanikiwa kushinda akiwa na PSG?


Nijibu hayo Maswali 3 bila ya kuzunguka ili tujue kama Uzoefu/Experience ina nafasi kwenye Mpira au ni Qualities ya Wachezaji ndiyo yenye nafasi kwenye mbinu za mwalimu na mafanikio.
Mzee mzima hichi kirusi lazima tukitoe humu jukwaani
 
Wakumbusheni Man U
Screenshot_20220423-164942_LiveScore.jpg
 
Mzee mzima hichi kirusi lazima tukitoe humu jukwaani
Ok ok ohh alright let's talk let's fight kwa vivid examples sio unapayuka kisenge senge let's start nimeshachukua laki yangu ipo mfukoni so I am happy naona unapayuka badala ya kuja na hoja humu sisi ni wanaume au wewe ni binti?kama you are real man let's argue kama ni binti sitaaargue na wewe haya lianzishe tuliendeleze Mesut90 tena nimekutag kabisa
 
Kutofautiana maoni ni kawaida ingawa wote tunataka mafanikio ya timu yetu pendwa. Mimi na computerarsenal tunafanana sana maoni ingawa mimi labda niko optimistic zaidi. Ukiona anakosa imani na kocha ni kwa sababu kocha kampa sababu ya kukosa imani. Mfano arteta hajaweza kumaliza juu ya emery alipoacha. Ukiacha timu kubwa, tumepigwa sana na timu ndogo pia. Tukumbuke pia tulitolewa fa cup na kitoto cha chekechea kabisa. Kwenye mbinu mimi namuona bado yuko nyuma ingawa wapo wanaomuelewa kuliko mimi. Kwenye man management naona bado yuko nyuma ila hayo ni maoni yangu tu. Mwisho wa siku always namtakia mafanikio maana ni kocha wa timu yangu na mimi nataka timu yangu ishinde.

Kwa kumtetea sasa...
Matatizo yetu naamini ni zaidi ya kocha. Pep alisema kocha wa top level hana muda wa kuimprove wachezaji hivyo anahitaji complete player ama mwenye juhudi binafsi kuimprove kupitia extra sessions na kocha etc. Je board inampa wachezaji anaohitaji? Je uongozi umeweza kufanya biashara vema na kuingiza hela ili wachezaji wazuri waletwe? Lately tunatumia pesa nyingi kununua wachezaji wa kawaida na sio top. Baadae tunashindwa kuwauza kwa faida au wanaondoka bure. Raul sanlehi kmmk na ufisadi wake. System ilikuwa mbovu na bado mbovu.

Commercial partnerships zetu zina tija kweli? Sijui visit rwanda sijui vikampuni vya bia na kahawa vina tija kwa level tunazotaka kufika? Wanaohusika idara hiyo wanamanufaa kweli? Manutd bonge la brand bado licha ya madhaifu uwanjani. Kwa nini sisi hatujakua kama brand zaidi? Someone is responsible for that. Are they doing their job?

Academy je vipi? Mbona hawatoi top class talent kuja kuingia 1st team? Kwani hawajui standards za world class players? Saka, esr, nketiah. Ukiacha unaedhani anastahili kucheza arsenal je watapata number liverpool ama chelsea. Iwobi anafanya nini everton na willock anafanya nini newcastle.? Gnabry angalau but alisepa muda na alienda bonge la timu. So academy imeproduce nini cha maana lately?

Haya mambo yanacompound na yanaaffect mambo uwanjani.

So arteta pamoja na mapungufu yake, makosa yake yanakuzwa na vitu vingine kibao tusivyoviona. Computerarsenal amefika hatua ya kusema kroenke ndo shida. Hajakosea. Pessimism yake inamfanya aonekane kama anatamani arteta ashindwe atambe ila sidhani kama ni hivyo. Mkimsoma kwa utulivu na open mind naamini mtaona jamaa ana hoja.
Wewe acha kujifananisha na wapambavuuu. Upumbavu huambukiza. Kwahiyo arteta amempa nafasi ya kumfikiria negative huyo mamluki wako pekee sio?? Issue sio kuwa optimistic au pessimistic issue ni mtu kuwa mpumbavu wa kushindwa kumanage expectations
 
Ok ok ohh alright let's talk let's fight kwa vivid examples sio unapayuka kisenge senge let's start nimeshachukua laki yangu ipo mfukoni so I am happy naona unapayuka badala ya kuja na hoja humu sisi ni wanaume au wewe ni binti?kama you are real man let's argue kama ni binti sitaaargue na wewe haya lianzishe tuliendeleze Mesut90 tena nimekutag kabisa
Wewe ni mpumbavu. Wewe hujui chochote katika soka. Ni mtoto mdogo sana unaendeshwa na mihemko ya kisenge. Usituletee mibandiko yako mrefu hapa isiyo na hoja zaidi ya uchawi wako kwa kocha wetu maku wewe
 
Wewe acha kujifananisha na wapambavuuu. Upumbavu huambukiza. Kwahiyo arteta amempa nafasi ya kumfikiria negative huyo mamluki wako pekee sio?? Issue sio kuwa optimistic au pessimistic issue ni mtu kuwa mpumbavu wa kushindwa kumanage expectations
Nakusubiri naona unakimbia kama Kuku anayetaga come on girl Mesut90 njoo na hoja basi
 
Haaaa so kushinda leo unaona umebeba kombe ? Mesut90 una mentality ya kisenge sijapata kuona Mesut90 that's why mimi na wewe hatuwezi kufanana kimentality kumbe kisenge kweli wewe sisi ambao tulishuhudia Vieira akibeba kombe 2004 na ladha ya final champions league tukaonewa na refa final tuseme nini?tulia usije vaa chupi kichwani
Sio kushinda Leo ngedere wewe. Wewe sio ulisema Arteta hawezi kushinda big game?? Wewe si umebeti mpaka matako kama Arteta atakuwa top four?? Sasa jiandae these kubwa wewe. Stay out of our platform. Nenda zako PSG huko
 
Sio kushinda Leo ngedere wewe. Wewe sio ulisema Arteta hawezi kushinda big game?? Wewe si umebeti mpaka matako kama Arteta atakuwa top four?? Sasa jiandae these kubwa wewe. Stay out of our platform. Nenda zako PSG huko
Last year Manchester alifungwa na nani ?Chelsea alifungwa na nani?coach si alikuwa Arteta?Mjadala wa kusema Arsenal hapatagi positive results unajua ulikujaje?This season Arsenal kacheza games 9 vs Big 6 kapata 9 points out of 27!binti naona umekurupuka kuja kupambana na big kama mimi wakati umemuacha boyfriend wako home embu harakisha haraka nyumbani unasubiriwa huko Mesut90 naona nikiargue na wewe napoteza muda leo nina furaha ya kuwin vs Manchester United unataka kupambana na giant nakupa tahadhari utafeli
 
Arsenal vs Man United
Muda saa 8:30mchana.
Kwenye kufukuzia ndoto yako Kuna kitu kinaitwa"invisible effect spam" huu Ni ule muda ambao utakuwa hauwezi kuona kwa waziwazi matokeo ya kile unachokifanya.. ingawa huwa haimaanishi kuwa hakuna kinachoendelea.
Ukweli Ni kwamba hatakama kwa nnje huoni kinachoendelea chini ya udongo jua kuwa mbegu huwa inaendelea kukuwa na kutoiona inavyokuwa haimaanishi kuwa haikui .
Bado sisi washabiki hatujalijua hili. Tujue kabisa kuwa tuko kwenye kipindi Cha mpito. Tuko kwenye kuiotesha mbegu ardhini.. hakuna mtu au timu yoyote itakayotuelewa kwa Sasa .. wakati utafika wote tutakubali na tutajionea matunda ya hichi kinachoendelea...
Arsenal tuna kikosi kizuri. Tuna wachezaji chpkizi na mwalimu kijana . Tuko katika nafasi ya tano tukilingana point na Spurs tofauti ikiwa Ni magoli tu.. mechi hii kwetu Ni mechi muhimu Sana . Kuifunga man United kwangu Ni furaha isiyo na mfano. Naiona Arsenal ikipata matokeo mazuri na mabao ya kutosha.
Tusife moyo. Tuwe na matumaini. Wakati mzuri unakuja . .
ARSENAL TOGETHER
May be an image of 2 people and text that says 'Arsenal MANCHESTER adidas Emirates FLY BETTER UNITED adidas TeamViewe iee Team Arsenal AFC''Arsenal MANCHESTER adidas Emirates FLY BETTER UNITED adidas TeamViewe iee Team Arsenal AFC'
Post kama hii huyu malaya wa kimpira computerarsenal hawezi flu-like hata siku moja. Huyu ni hater! Hii post imejaa madini sana

Common You Gunners
 
Last year Manchester alifungwa na nani ?Chelsea alifungwa na nani?coach si alikuwa Arteta?Mjadala wa kusema Arsenal hapatagi positive results unajua ulikujaje?binti naona umekurupuka kuja kupambana na big kama mimi wakati umemuacha boyfriend wako home embu harakisha haraka nyumbani unasubiriwa huko Mesut90 naona nikiargue na wewe napoteza muda
Usiniletee haari za last year jinga wewe. Ulikuja kama mwanamke malaya kwamba mumeo hakufikishi kwa hiyo unaenda kutafuta bwana mwengine. Si ulienda PSG wewe?? Kimekurudisha nini?? Nyinyi ndio huwa wanaume tunawafumua mitaro halafu tuna wa dump.
 
Eli ndugu yangu hapa hoja ilikuwa arsenal hawezi kushinda against big 6. Tusihamishe magoli kaka
Ndio, nilisema hivyo...
Record yake against top teams sio nzuri, kati ya 9 matches ameshinda tatu. Hiyo kwako ni record nzuri?
 
Back
Top Bottom