computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Haaa kumbe unataka niondoke Arsenal?binti tangu lini umeanza kuwapangia wanaume nini cha kufanya na nini cha kuacha?tafadhali wanaume hatupendi kufuatiliwa fuatuliwa na mabinti unampangia mwanaume cha kufanya? Mesut90 seriously?kumbe uliumia nlivyosema hvyo?ohhhh sorry sorry my loveUsiniletee haari za last year jinga wewe. Ulikuja kama mwanamke malaya kwamba mumeo hakufikishi kwa hiyo unaenda kutafuta bwana mwengine. Si ulienda PSG wewe?? Kimekurudisha nini?? Nyinyi ndio huwa wanaume tunawafumua mitaro halafu tuna wa dump.

let's talk soccer!