Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi akili zako unazipelekaga wapi?
1)Chelsea 2-2 Arsenal akamaliza position namba 8

2)Last season Chelsea 0-1 Arsenal akamaliza position namba 8

3)This season Chelsea 2-4 Arsenal EPL continues

Wednesday results zisikufanye uchanganyikiwe upayuke bro Will Jr

Sisi Die hard fans wa Arsenal sio Arteta tunasubiri 22 May pale ligi season will be over tuje kwenye uchambuzi
Wewe huna u-die hard fan wowote. Wewe huna unalojua kuhusu football. Unapayuka tu mamluki. Unajifanya Arsenal kumbe mchawi tu
 
Wewe Dogo nilipoona tu joined 2020 basi una safari ndefu ya kujua mpira.

Yani upo serious kabisa ukiangalia aina ya Wachezaji alionao Arteta unataka ishindane na Man City, Liverpool na Chelsea???

Hapo alipo kuwatia Tumbo Joto kina Spurs na Manure ambao kiuhalisia wana Wachezaji qualities ukilinganisha na Arsenal bado hujaona Tu kazi ya Arteta?

Kwa Arsenal hiyo Akiondoka Arteta basi huyo Kocha unayeona wewe anafaa atamaliza Ligi katika Bottom Half of the Table.

Ndugu Arteta ameshaonesha uwezo wake! Kwasasa anachohitaji ni Sapport tu kutoka kwa Wamiliki.

Apewe Wachezaji wa Ushindani na si jengine.
Huyo mtu ni hater. Watu wa aina ya huyu computerarsenal mara nyingi huwa wachawi.

Anajiita die hard fan?? Umeona wapi die hard fan anaitukana timu?? Die hard fan hawezi kuhama timu. Kikwete tangu enzi za Shearer ni Newcastle mpaka Leo ni Newcastle. Hao ndio die hard fans
 
Wewe huna u-die hard fan wowote. Wewe huna unalojua kuhusu football. Unapayuka tu mamluki. Unajifanya Arsenal kumbe mchawi tu
Naenda kuchukua laki yangu endelea na Kelele nimechoka kurudia rudia maandiko naona umekuja baada ya kuwa tumeshinda game ambayo hata mimi nilisema tutashinda muda wote ulikuwa wapi unakuja after game kuisha?Fuc*** unanipotezea tu muda acha niwahi laki yangu
 
Huyo mtu ni hater. Watu wa aina ya huyu computerarsenal mara nyingi huwa wachawi.

Anajiita die hard fan?? Umeona wapi die hard fan anaitukana timu?? Die hard fan hawezi kuhama timu. Kikwete tangu enzi za Shearer ni Newcastle mpaka Leo ni Newcastle. Hao ndio die hard fans

Tushangilie ushindi achana na malumbano
 
Huyo mtu ni hater. Watu wa aina ya huyu computerarsenal mara nyingi huwa wachawi.

Anajiita die hard fan?? Umeona wapi die hard fan anaitukana timu?? Die hard fan hawezi kuhama timu. Kikwete tangu enzi za Shearer ni Newcastle mpaka Leo ni Newcastle. Hao ndio die hard fans
ARV huyo mazee, mnapoteza muda anaenjoy kuwachallenge
 
Wagwaya wachezaji wenzake wamemlalamikia kwa kocha, sasa hivi wachezaji wenzake waogopi akitoa boko ila wanaogopa kujeruhiwa na beki wao, hivyo wamelalamika wakiwa nae wanacheza kwa uoga na tahadhari ya hali ya juu ili wasijeruhiwe.

Leo kosi la dunia limekamilika, kosi la leo limepania kupiga tena zile goli 8.

Kosi la maangamizi, leo Manchester United anaungana na Urusi kuwapiga vibaraka wa ZeleiskyView attachment 2197581

Naamini unalia kwa Uchungu muda huu na kumtukana mwalimu wa Klopp na Tuchel.
 
Back
Top Bottom