computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Naona hapa ndipo tunapotofautiana licha wote ni Arsenal fans may be[emoji1787][emoji1787][emoji1787] computerarsenal shida unayoipaita ni kwenda tofauti na Ideology ya mashabiki wengi wa Arsenal.
Wenzako walishaweka wazi kipaumbele chao sio Trophies, wanachotaka ni kandanda safi na wawepo kwenye top4 kila msimu.
Sasa wewe unakuja na habari za ubingwa na makombe hawawezi kukuelewa zaidi ya kukuona ni mamluki kwenye timu.
Hili litimu litakutesa sana mkuu, maana viongozi na mashabiki wake wako against kabisaaaa na mtazamo wako.