Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumefungwa goli la hovyo sana..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani mnaongoza kwa goli 2 halafu bado mnalalamika.
Subiri kipindi cha pili mashetani wakukamue jipu.
 
Nasikia baada ya kuchezea 4 uliamua kukaa kimya, leo unataka kufuta machozi kwa sisi kupigwa na ManU!
Hata sikukaa kimya 🤣
Haikunishtua
Namba 3 ndiyo mie bingwa wa dunia
Mlitucheleweshea tu mbio za points
Michezo miwili ya mkononi naimani tutatoboa…
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani mnaongoza kwa goli 2 halafu bado mnalalamika.
Subiri kipindi cha pili mashetani wakukamue jipu.
Game ambayo hakuna sababu ya kufungwa kizembe, United wameonyesha wapo weak na warahisi kuwa exposed. Hakukutakiwa kuwa na goli..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom