Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jana mumenifurahisha sana kumfunga bwana aliyewaaminisha Rent Boys kuwa hakuna Timu inayotamani kucheza na Chelsea, pia Makombe yote atabeba Chelsea.
Kama nilivyopiga Nyumbu pia nitawalipa kwa furaha yangu kumpiga na Spurs, nyinyi shindeni mechi zenu zilizobakia tu.
 
Niseme ukweli tu baada ya zile Subs za Arteta nilianza kuingia Hofu kidogo kwani nilihisi kama haziisaidii Timu.

Sub pekee niliyoiyona imeongeza Kitu ni ya SOARES, lakini ya MARTINELI kwa jana sikuona kuwa imeongeza chochote uwanjani.
 
Sasa nimeamini Mdomo ni Kitu kibaya.

Mechi ya jana haikuwa na Maslahi yoyote na Liverpool lakini cha ajabu Washabiki wote wa Liverpool tulikuwa upande wa Arsenal. You know why?
Sababu pekee ni kwamba Rent Boys wana Mdomo!!!!!
 
Klopp kaja Liverpool kakuta kweli players wengi walikuwa ni Rubbish na hakuwa na papara kaanza kusajili mmoja mmoja na wengine kawatoa Academy kabisa but sababu ya EXPERIENCE KWENYE FOOTBALL leo tunaiona Liverpool ni one among the best team in the world
Hebu acha kudanganya hakuna cha experience hapo bali ni Sapoti ya Wamiliki ya kumpa Klopp usajili wa Wachezaji Bora ndiyo uliyoifanya Liverpool ikawa Bora.

VVD, Alison, Fabinho, Salah, Mane, Robertson bila ya hawa kusingekuwa na Liverpool Bora na huyo Klopp angeishia na kubaki na experience yake.

Apewe Arteta Wachezaji aina ya Alison, VVD, Salah, Mane na Fabinho hapo ndiyo utaweza kumlaumu lakini sio kwa kina Lokonga ndiyo useme Arteta ni mbovu.
 
Game hata sijaitizama yaani, kufika dk 10 nikapitiwa na usingizi kwenye makochi kushtuka saa saba.
Basi huwa na mzuka wa kuangalia, Vijana walianza vizuri kufika dk 13 wakapiga kitu, uchofu wote ukatoka kuamzia hapo mbugi ikuwa inapigwa hupepesi macho pembeni.
 
Jana mumenifurahisha sana kumfunga bwana aliyewaaminisha Rent Boys kuwa hakuna Timu inayotamani kucheza na Chelsea, pia Makombe yote atabeba Chelsea.
Kama nilivyopiga Nyumbu pia nitawalipa kwa furaha yangu kumpiga na Spurs, nyinyi shindeni mechi zenu zilizobakia tu.
Tunawashkuru sana Liverpool. Na Sisi tunawaombea mchukue ubingwa wa ligi, FA na UEFA. Mnastahili kabisa
 
Niseme ukweli tu baada ya zile Subs za Arteta nilianza kuingia Hofu kidogo kwani nilihisi kama haziisaidii Timu.

Sub pekee niliyoiyona imeongeza Kitu ni ya SOARES, lakini ya MARTINELI kwa jana sikuona kuwa imeongeza chochote uwanjani.
Nlihisi Arteta amemtumia out of positiona na pia Lacca na pepe watatumika zaidi Jumamosi against United
 
Hebu acha kudanganya hakuna cha experience hapo bali ni Sapoti ya Wamiliki ya kumpa Klopp usajili wa Wachezaji Bora ndiyo uliyoifanya Liverpool ikawa Bora.

VVD, Alison, Fabinho, Salah, Mane, Robertson bila ya hawa kusingekuwa na Liverpool Bora na huyo Klopp angeishia na kubaki na experience yake.

Apewe Arteta Wachezaji aina ya Alison, VVD, Salah, Mane na Fabinho hapo ndiyo utaweza kumlaumu lakini sio kwa kina Lokonga ndiyo useme Arteta ni mbovu.
You are right mkuu
 
Nketiah atakuwa striker mzuri
Beki was kushoto bado mapepe
Jana vijana wamejituma
Nilihisi Kama saka anatakiwa apumzike kidogo
 
Back
Top Bottom