Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi Arteta haoni kama Martinelli ni bora kuliko Nketiah?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 

Kwa wale ambao hawakuona mechi this is an extended highlights
 
Wapi Olluchuga oc? Mbona leo haonekani humu. Au anapiga uzi chabo kwa mbali!! Aibu yake. Stamford Bridge umegeuka kuwa uwanja wetu wa nyumbani (wenyeji)kila tukicheza pale.
 
Wapi Olluchuga oc? Mbona leo haonekani humu. Au anapiga uzi chabo kwa mbali!! Aibu yake. Stamford Bridge umegeuka kuwa uwanja wetu wa nyumbani (wenyeji)kila tukicheza pale.
Mnachonifurahisha Arsenal mkipata ushindi wa siku moja mnaamini kabisa kuwa matatizo mlionayo yameisha, ila ukweli nikwamba nyinyi ni Arsenal8 tu matatizo na udhaifu wenu uko palepale. njoo mnipige pumbavu sana.
 
Jana mumenifurahisha sana kumfunga bwana aliyewaaminisha Rent Boys kuwa hakuna Timu inayotamani kucheza na Chelsea, pia Makombe yote atabeba Chelsea.
Kama nilivyopiga Nyumbu pia nitawalipa kwa furaha yangu kumpiga na Spurs, nyinyi shindeni mechi zenu zilizobakia tu.
Jamaa anatambaga sana yule cjui leo yuko wap
 
[emoji23][emoji23]
IMG_20220421_200535.jpg
 
Mtema utumbo wako atakuja?? Hahhahaha. Ndizi ulipata??

Bado libasubiri mechi ya Man u weekend, lilitupa game tatu Chelsea, Man utd, & West ham, ngoja tuone 😁

Man u ni timu mbovu, binafsi naiona game nyepesi kuliko West ham, labda itokee tumefeli sababu ya forward line wakiunderperform.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom