pamoja sana mkuu... suareza nilimpelekea maziwa ya tanga fresh na carrol nilimtumia mtindi wa iringa...Kule nimesharudi kamanda....angalia link hii hapa chini
https://www.jamiiforums.com/sports-and-entertainment-forum/113422-enzi-hizo-s02.html
Btw....Hongereni kwa kazi nzuri ya jumapili.....Fikisha salamu zangu kwa Suarez na Kuyt
heheh mkuu wengine wameondoka bila kuaga, halaf kesho watasema tanesco ndio imesababisha wasiwahi kuaga. dah!
Aaah ngoja tuone si unajua babu yenu na maamuzi yake ya ajabu.............leo tactics zake zimegonga mwamba mngeenda ku attack NOU CAMP tulikua tunaongea habari nyingi hapa.asante mkuu, FA ndio sehemu ya ku-bounce back hapo na nategemea Wenger kwenda full squad.
Wacha1 pichaz pls..imeshakuwa historia hii japo inauma au siyo??!!..
Asubuhi njema jamani..mkalale siyo kuota mechi hii...
Disaster strikes!!!...Robin van Persie is sent off
hehehe mkuu watu wana hasira leo, kama wangekuwa mod, wageni wote wa hii sredi tungekula ban. hapa leo furaha yangu lazima nimpeleke waifu shopping usiku huu huu. lakini lazima tuwape pole pia jamaa.
Arsenal itabaki kuwa Arsenal na tutabaki kuwa The Gunners,ya leo ni ajali tu(4-3 agg si haba)......Cha msingi tujipange tu for EPL pamoja na kundeleza kilio Morogoro kwa Moro Utd hiyo jumamosi........
Sisi ndio Arsenal bana.................Together we stand
barcelona siku zote wanabebwa wakicheza na timu za england...mnakumbuka few seasons ago walipocheza na chelsea?
Anyway poleni watani, ndio ukubwa huo.
Mbu jumanne imefika na imeisha kama ifuatavyo!!..uefa bai bai!!!
Aaah ngoja tuone si unajua babu yenu na maamuzi yake ya ajabu.............leo tactics zake zimegonga mwamba mngeenda ku attack NOU CAMP tulikua tunaongea habari nyingi hapa.
Kwanza sijui wewe ni timu gani maana naona kama u mgeni hapa SEF(sorry kama nimekukwaza)....Mwaka jana aggregate ilikuwa 6-3...
Barca leo naona kama tungewaweza kama RVP asingepewa kadi,nina uhakika na hilo.....Kiujumla Barca hawatishi kivile na nina uhakika wataishia QF,hawataenda popote.............Leo refa kawabeba kubali kataa
Si umeona chama imekamilika leo? Tutapeleka msiba mwingine kule kwenu..Bundi bado katua maeneo yenu hivyo misiba itaendelea tu.
Naona wenye nyumba leo wameenda kulala wamesusa kutupa kampani wageni.....jamani uchoyo huo na wala sio vizuri ilibidi mtupe kampani wageni mpaka tujisikie kuondoka......hahha
Sorry BAK! huyu Ref huwa namuogopa sana! ana maamuzi ya kutisha! arghh! poleni sana! by the way tonight i was supporting gunners! mmh!!
mimi nina DNA ya white hart lane bana, spurs forever. hawa jamaa ni wagomvi wangu wa jadi.
barca ni chama langu la whole europe so leo fulu mafuraha. yaani kwa mara ya kwanza leo wallet langu waifu atalifanya anavyotaka
Hahaha mkuu mimi wala sio mgeni humu na wala siwezi kukwazika kabisa....ndio maana nikauliza mwaka jana mlifungwa kwa ngapi....je mngeshinda na jamaa asingepewa red card ingekuwaje???ila powa fair play mkuu na tupo pamoja na pole sana..........
...alaaa kumbeeeeeee?! ha ha ha, so nice to know this!
Siku zote ulikuwa umejificha wapi bana, jukwaa mpaka Shedafa linaanza kumshinda sasa...
Stand up and be counted bana!
Haya, kesho tutakuja jumuika nanyi kwenye kiporo chenu na AC MILAN, Rosssoneri wa Abdulhalim na Gang Chomba.
Pole mkuu sasa tukitoa makosa ya refa vipi mpira unaonaje maana naona mbele umeme ulikua umekatika kabisa.Dah hiyo FA itakua balaa maana sisi tumelose mechi mbili mfululizo na nyie mmeshindwa cups mbili mfululizo,kaazi kwelikweli...alaaa kumbeeeeeee?! ha ha ha, so nice to know this!
Siku zote ulikuwa umejificha wapi bana, jukwaa mpaka Shedafa linaanza kumshinda sasa...
Stand up and be counted bana!
Haya, kesho tutakuja jumuika nanyi kwenye kiporo chenu na AC MILAN, Rosssoneri wa Abdulhalim na Gang Chomba.