Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Same old shit au siyo?
Pumbavu
Absolutely
Same old shit au siyo?
Pumbavu
Hao ndio Toxic fans wa Arteta wao wanajua kuchambua game moja moja but kuna us ambao tunachambua coming 10 games tuliona dalili na hasa baada ya January kukaa bila kusajili forward na squad hii nlitabiri anguko baya mbeleni na sasa hivi tunaona anguko hiloNaipenda philosophy ya some Arsenal fans(majina kapuni) timu ikifungwa wanaingia mitini
anaweza kukimbia alichoposti hapa 😁😁
Aser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji huku wanatingisha wowowo, wakisema chukua yote

we jamaa hua unanifurahishaga sana na haka kamsemo kako. Mna kiporo na Chelsea,mtashinda halafu mnamshusha Spurs namba nne na hamtoki Tena mpaka Ligi inaishaaHata tukuingia top 4 bado kuna kazi kubwa ya kutengeneza timu yenye ushindani

Njoja chawa wa Arteta waje kukutukana na kukuita mamluki.(KUJIANDAA KISAIKOLOJIA)hili neno niliwataadharisha wale wote wanaoiona Arsenal hii itacheza Championsleague before this game
Nimetukanwa sana humu na some fans na wengine kuniblock ambao leo hawapiti tena kwenye hii THREAD nlikuwa nashangaa why watu hawataki kufungua macho yao na kuona Arsenal bado haina kocha mwenye EXPERIENCE ambaye hata akija kupata injuries atajua jinsi ya kuhandle timu?kocha ambaye atajua pale top 4 ipo mikononi mwake na hawezi poteza opportuniy timu huyo kocha lazima awe na EXPERIENCE yote haya nliyaona but toxic fans wa Arteta walikuwa vipofu ila Asante MUNGU leo watu wanapokea kipigo cha 3 in a row na Top 4 kupotea
Arteta ni Mbahatishaji na ashukuru ana Saka Martinelli Smith Row Odeegard hawa watoto ndio wameifikisha Arsenal kugombania Top 4 but kocha kiukweli uwezo hana yaani kuwakosa Partey na Tierney ameanguka game ya 3 mfululizo
January tuliambiwa Auba jeuri na bila sababu akaondoka zake bila replacement huku Edu na Arteta wakipata Mvinyo huku fans wakipiga kelele na wengine wakisema Auba ni jeuri aondoke zake(toxic fans wa Arteta hao)wengine kama Us tukapiga sana Kelele why Auba aondoke wakati ndio tegemeo letu na replacement yake kupatikana ni problem na akaondoka Bure kabisa
Arsenal imekuwa ni middle team kwa sasa for example big players gani watakosign aje Arsenal kocha ni Arteta?HAKUNA NA HAITAKUJA KUTOKEA
OWNER hana uchungu na timu kabisa haangalii games hajui nini kinaendelea kabisa na big team kuwa na coach kama Arteta ni Joke of the century hajui kumanage team sna experience hana alitutoa kwenye Competition za ulaya since 1995 na this season alikuwa hana European competition yoyote ile but Top 4 kaipata na kaikosa that's ridiculous
Mungu ajalie afanye jambo kwa owner labda Real owners wakija wenye uchungu kuna siku fans wa Arsenal watapata furaha kama miaka ya 1990s and early 2000s
Arsenal ana coming games vs Chelsea Manchester United and West Ham ambazo inawezekana asipate hata 1 point ikawa Maajabu kwa Arsenal kulose 6 games in a row
Have a nice weekend guys
Nakuomba unitag unaposhusha nondo kama hizi ambazo ni ukweli mchungu kwa fans wengi wa Aseno(KUJIANDAA KISAIKOLOJIA)hili neno niliwataadharisha wale wote wanaoiona Arsenal hii itacheza Championsleague before this game
Nimetukanwa sana humu na some fans na wengine kuniblock ambao leo hawapiti tena kwenye hii THREAD nlikuwa nashangaa why watu hawataki kufungua macho yao na kuona Arsenal bado haina kocha mwenye EXPERIENCE ambaye hata akija kupata injuries atajua jinsi ya kuhandle timu?kocha ambaye atajua pale top 4 ipo mikononi mwake na hawezi poteza opportuniy timu huyo kocha lazima awe na EXPERIENCE yote haya nliyaona but toxic fans wa Arteta walikuwa vipofu ila Asante MUNGU leo watu wanapokea kipigo cha 3 in a row na Top 4 kupotea
Arteta ni Mbahatishaji na ashukuru ana Saka Martinelli Smith Row Odeegard hawa watoto ndio wameifikisha Arsenal kugombania Top 4 but kocha kiukweli uwezo hana yaani kuwakosa Partey na Tierney ameanguka game ya 3 mfululizo
January tuliambiwa Auba jeuri na bila sababu akaondoka zake bila replacement huku Edu na Arteta wakipata Mvinyo huku fans wakipiga kelele na wengine wakisema Auba ni jeuri aondoke zake(toxic fans wa Arteta hao)wengine kama Us tukapiga sana Kelele why Auba aondoke wakati ndio tegemeo letu na replacement yake kupatikana ni problem na akaondoka Bure kabisa
Arsenal imekuwa ni middle team kwa sasa for example big players gani watakosign aje Arsenal kocha ni Arteta?HAKUNA NA HAITAKUJA KUTOKEA
OWNER hana uchungu na timu kabisa haangalii games hajui nini kinaendelea kabisa na big team kuwa na coach kama Arteta ni Joke of the century hajui kumanage team sna experience hana alitutoa kwenye Competition za ulaya since 1995 na this season alikuwa hana European competition yoyote ile but Top 4 kaipata na kaikosa that's ridiculous
Mungu ajalie afanye jambo kwa owner labda Real owners wakija wenye uchungu kuna siku fans wa Arsenal watapata furaha kama miaka ya 1990s and early 2000s
Arsenal ana coming games vs Chelsea Manchester United and West Ham ambazo inawezekana asipate hata 1 point ikawa Maajabu kwa Arsenal kulose 6 games in a row
Have a nice weekend guys
Ni wahuni tu waliokotwa huku na huko halafu wakavishwa jezi na kuingia uwanjani.Kuna namna ya kujiuliza hii ni team ya mpira wa miguu au kikundi cha maigizo ya mpira wa miguu.