Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani player kama huyu unategemea akupeleke Champions league mamamae?na kocha bado awe Arteta?this is a big joke tunaongea sana you must need players ambao wapo ready kupambana kwenye vita kubwa na pia player anahitaji coach ambaye atamjenga na kuwa big star vyote viwili kati ya player na coach havilink kabisa hapo
Kwa uelewa wako huu, ingekua ni ngumu sana kwa Liverpool kumchukua Jota
 
Jota na huyo Rasta ?are u seriously?mtu katika goli 12 ana goli 6 au 7 za Penalty?Jota alikuwa mkali na hata Liverpool alipomchukua hakuna aliyeshangaa Recruitment yetu ya wachezaji ina shda kubwa sana yaani very bad
 
Plan yangu ya weekendd ilikuwa jumamosi kusubiri nyumbu wapigwe kwanza. then tushinde mechi yetu. nilale. jumapili niangalie youtube videos highlights za tulivyompiga mtu huku nikicheki nyumbu alivyopigwa na kupitia jukwaa lao kuwasoma kina darmian wanavyomtukana kocha wao. mambo yakaenda ndivyo sivyo kabisa.
 
Jipange Tena weekend hii
 
Oya wazee nimewawekea video ya mwamba muone anavyopiga role ya false #9 kama Mikel Arteta anavyohitaji, Mafans yasiyojua mpira yanaongea utumbo sababu anacheza Brentford. Compare him to lacazette if you wish but Ivan Toney is a complete striker. Hii ni game ya jana vs West ham.
 
Q.“Argentina's manager Scaloni has little experience, but they ended up winning. How is this explained?”

A.“Because experience is a lie in football. What is experience if every situation is a new one? What was necessary yesterday isn’t necessary today."

"I tell my players a lot; I used examples at Barça, at Bayern & here; like in the Champions League Final, Milan were 3-0 up at half-time against Liverpool...20 minutes later, 3-3."

"They had the most experienced team I’ve seen; players who’ve been in a thousand battles; Cafu, Maldini, Dida, Nesta, Gattuso, Pirlo, Crespo, Inzaghi. 3-0 up at half-time!" ~ Pep Guardiola.
 
Congratulations Unai Emery last year Bingwa wa Europa League this season katika Champions league umewatoa ma giants tena home kwao Alienz Arena and Turin mean umepata Results away Congratulations Big Man fans walimtukana mno but ameprove wrong tena kwa small team kama Villareal maajabu sana haya
umemsahau Coquelin Arsenal bana.
 
Congratulations Unai Emery last year Bingwa wa Europa League this season katika Champions league umewatoa ma giants tena home kwao Alienz Arena and Turin mean umepata Results away Congratulations Big Man fans walimtukana mno but ameprove wrong tena kwa small team kama Villareal maajabu sana haya
Good Ibining amejiheshimisha, wale mashabiki wa Landani waliompigia kelele leo nadhani wana nyuso za Aibu, pia Bodi iliyoshiriki kumnyima support kwa ubahili wao leo aibu Zimewajaa, kifupi Goodibining sio kocha Mbaya bali fitina za Kiingereza zilimng'oa Emirate,

Hongera Pia kwa Jiwe la pembeni KUKOLINI, umejiheshimisha kwa kunyakua EUROPA last season na sasa miguu imetangulia Nusu fainali. Kila la kheei Kwake.

Sisi wacha tuendelee kutembwa kama walevi, Hatua tatu mbele kisha tunapiga nne nyuma na kukaa chini kujipongeza.

With Arteta Edu Muhindi na Mustach hii team haina dalili ya kunyanyuka siku za Karibuni.

Tuendelee kuibumilia kwa maumivu na uchungu Mkali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Arteta nae akifukuzwa akaenda kupata mafanikio zaidi timu nyingine nae utasema kafukuzwa kwa fitina?? PSG nako alifanyiwa fitina??
 
Unai hapana aseeee jmn tulkuwa tunacheza mpra mbovu sana kla timu ina system yke mi ckuwai kuvutiwa n mpra wake kbsa
 
Aliifikisha Arsenal fainali ya Europe league ujue.

Kumbe wewe unachopenda ni vile vi pasi pasi vingiii... Halafu makombee holaaaaaaa.Daah mashabaki wa Arsenal hapana.Wenger kawaathiri
 
Kwani Arteta nae akifukuzwa akaenda kupata mafanikio zaidi timu nyingine nae utasema kafukuzwa kwa fitina?? PSG nako alifanyiwa fitina??
Inshu kubwa inayo zungumziwa ni kuwa alipewa muda mdogo sana kitu kama msimu MMOJA tuu sidhani kama aliifikisha misimu miwili akatumiliwa Kwa Maneno hayo ya fitina.
 
Back
Top Bottom