Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Oya, Matoxic yanasubiri Mikel Arteta apoteze yaanze kutema shombo.
 
Man U wanaumia Spurs kupoteza kuliko Spurs wenyewe
Wewe pia huna uwezo wakumfunga southampton nashangaa unasherekea matokeo ya wenzako wakati yako huyajui na bahati mbaya Sana mbele kasimama kijana wetu homeboy kabisa A.broja na atawanyoosha kweli kweli
 
Arsenal tunachukiwa na kila timu, Arsenal ni lijitu flani hivi likubwaaaa sleeping giant wanaogopa likiamka itakuaje, anachukiwa Mikel Arteta sababu anataka kuliamsha hili dude
 
Sawa Spurs kalose but Arsenal will get 24 points in 8 games zilizobakia?tujiulize hapa Partey Tierney (msimu huu hawapo)Arsenal leo results ni fifty fifty anaweza kuwin but 8 games in a row?jibu ni HAIWEZEKANI kwa Squad hii ya kutuletea maumivu ni heri kujiandaa kisaikolojia
Achana na hizo game leo tu ni ngumu kwenu kutoboa mkijitahidi Sana ushindi wenu ni draw hata draw yenyewe siwapi dhamana
 
Wewe pia huna uwezo wakumfunga southampton nashangaa unasherekea matokeo ya wenzako wakati yako huyajui na bahati mbaya Sana mbele kasimama kijana wetu homeboy kabisa A.broja na atawanyoosha kweli kweli
Mnateseka sana, mnakuja na fake ID kujifanya Arsenal fans mnatukana humu tunawachora tu, Mostly ni mafans wa Cheltako na nyumbu, shida zote za nini tulieni na timu zenu mkuu.
 
Arsenal tunachukiwa na kila timu, Arsenal ni lijitu flani hivi likubwaaaa sleeping giant wanaogopa likiamka itakuaje, anachukiwa Mikel Arteta sababu anataka kuliamsha hili dude
Wewe uchukiwe una kitu gani Cha ajabu wakati kuingia tu top 4 tu mbinde namkiingia lazima mfanye sherehe
 
Oya kuna raia wanatukana humu kumbe ni mafans ya nyumbu, afu yanapeana sapoti eti we ndio unaongeaga ukweli humu
 
Ninachojua top 4 tunaingia

Save it

#COYG
Umeongea kwa confidence sana mkuu, kana kwamba ulijua spurs anapoteza... Anyway tuna changamoto ya squad depth.. Tomiyasu akirudi tunaweza kutoboa. Tatizo partey na Tierney watakosekana mpaka mwisho wa msimu.. Tuombe tushinde leo ili kurudisha morali ya timu
 
Mnateseka sana, mnakuja na fake ID kujifanya Arsenal fans mnatukana humu tunawachora tu, Mostly ni mafans wa Cheltako na nyumbu, shida zote za nini tulieni na timu zenu mkuu.
Mbona nyinyi mlikuja kwenye uzi wetu tulivyotolewa na Real Madrid ni mwendo wakujambisha tu
 
Wewe uchukiwe una kitu gani Cha ajabu wakati kuingia tu top 4 tu mbinde namkiingia lazima mfanye sherehe
unabisha huna chuki na umeacha mambo yako uje kubishana ishu za Arsenal humu, mind your bzness yaani fuatilia timu yako. Mambo ya kushindanisha timu watu wazima tushaacha tunaangalia mpira kama Entertainment. Huo ushamba mmebaki nao Cheltako. Yaani Chelsea apoteze game nije kupigizana kelele kisa kafungwa, nimekosa kazi ?
 
Cedric likes to take freekicks, but I dont believe if he is good in that. Three wasted so far. Does he think he's still defending for Southampton?
 
Back
Top Bottom