Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inshu kubwa inayo zungumziwa ni kuwa alipewa muda mdogo sana kitu kama msimu MMOJA tuu sidhani kama aliifikisha misimu miwili akatumiliwa Kwa Maneno hayo ya fitina.
Issue sio muda mkuu, muda inategemea na unachokifanya(performance) kulingana na matarajio ya unachokitegemea na kuwambia maboss wako. So km maboss wataona maendeleo yako hayaendani na matarajio kwa muda uliopewa itakuwa haina maana kukuacha mpaka umalize muda wako maana unaweza kufikia pabaya zaidi.

Unai alikaa musimu mmoja na nusu hakufanya chochote zaidi ya kucheza fainali ya Europa. Mwishoni na mwanzoni mwa musimu timu ilikuwa na mwenendo mbaya kuanzia kucheza mpaka kupata matokeo na ilifikia mpaka kusema hana mahusiano mazuri na wachezaji pia mawasiliano yake na wachezaji hayakueleweka vzr kwa wachezaji kutokana na kutokujua Lugha ya kingereza
 
basi lugha ilichangia Kwa Yote hayo KUTOKEA ndani ya Arsenal.
 
Muthaphucker Luka Modric, kuna watu waliletwa kwa kazi maalum, No wonder the nigga won Ballon D'or in 2018.
 
Kuna mtu kaandika hii inafurahisha sana

Arsenal win. ===Arteta
Arsenal lose ===Arteta
Marseille Win ===Arteta
Barcelona win ===Arteta
Fernabace win ===Arteta
Villareal win ===Arteta

Lmao… they hate the man for everything.
 
Manchester City are too easy to keep the ball against Atletico Madrid, press ya Atletico imematch up completely na build up ya city to the extent that City hawawezi kubypass even the first line of pressure, toka nimeijua City leo wameshindwa kuplay out for the first time, Pep haelewi nini afanye, Simeon mnyama mkali, duh kuna watu wamelaaniwa kwenye hizi kazi.
 
Aliifikisha Arsenal fainali ya Europe league ujue.

Kumbe wewe unachopenda ni vile vi pasi pasi vingiii... Halafu makombee holaaaaaaa.Daah mashabaki wa Arsenal hapana.Wenger kawaathiri
Ishu cyo vipasi tunatka mpira mzuri na mataji cyo pila bwa bwa bwaa bas
 
🏆 Bukayo Saka wins PFA Fans' POTM award​

1649954860753.png
 
Sikuwa na mzuka kabisa wa kuingia arsenal.com wiki hii ila hasira zimepungua kidogo. Nimeingia na nimekuta kitu positive. Sijui Saka kashindaje ila hongera kwake.
 
Manchester City are too easy to keep the ball against Atletico Madrid, press ya Atletico imematch up completely na build up ya city to the extent that City hawawezi kubypass even the first line of pressure, toka nimeijua City leo wameshindwa kuplay out for the first time, Pep haelewi nini afanye, Simeon mnyama mkali, duh kuna watu wamelaaniwa kwenye hizi kazi.
Daaa Jana atletico wametupania hatari .....ila tumewaonesha kuwa tunaukomavu na haya mshindano ...goli 1 la away limetosha kuwatoa kwenye mashindano ....

This is our city
 
Daaa Jana atletico wametupania hatari .....ila tumewaonesha kuwa tunaukomavu na haya mshindano ...goli 1 la away limetosha kuwatoa kwenye mashindano ....

This is our city
Hakuna ukomavu mlio uonesha Wala ukamavu wowote mlionao kwenye UCL.Kilicho wabeba ni bahati tu.

Kumbuka city mpaka Ft Hana short on target hata Moja.
 
kwanini Lokonga na Sio Elneny kwenye kikosi cha sasa cha arsenal baada ya Partey kuumia, mwenye ufafanuzi juu ya hilo
 
kwanini Lokonga na Sio Elneny kwenye kikosi cha sasa cha arsenal baada ya Partey kuumia, mwenye ufafanuzi juu ya hilo
Lokonga anaperform vizuri kwenye phases zote tatu, 1st phase, 2nd phase, 3rd phase. Tatizo lake kubwa ni Mental issue kama alivyo Partey / Tavares inapelekea wanakosa Calmness kwenye key moments of the game kwa maana ingine hawakupi Consistency, Technical bench wanamuona Lokonga kama a future Holding Midfielder.

El neny ni mzuri kwenye 1st phase only. (kudefend spaces & contribute on building play). Ukiangalia profile kwa umakini huwezi kulalamika ukiona lokonga over Elneny. Lokonga anahitaji uzoefu zaidi.
 
Back
Top Bottom