Man U kafungwa goli 1 ugeniniTUZO YA KUBWA JINGA LA WEEKEND APEWE NANI KATI YA ARSENAL NA MAN UView attachment 2181947
Bila kusahau miaka miwili ijayo Competition itazidi kua kubwa maana Newcastle United nae atakua kwenye mbio za kufukuzia top4 ili aweze kucheza UEFA.Hakuna mmiliki mwenye akili timamu unaamua kumuacha beast striker kama Aubameyang aondoke unabaki na mfuga ndevu mpumbavu kama lakazete,hii timu ikipata mmiliki mwenye kuelewa maana ya uwekezaji kwenye soka kwa, wote pale hakuna anayestahili kubaki,wanapaswa wafurumushwe isibaki hata chupi kwenye kabati!.
Kuna muda ukiwaangalia wachezaji namna wanavyocheza unaweza kusema hawajala mwaka mzima au hawajalipwa misimu 6 mfululizo.
Bunley,Astonvilla,Brighton,watford n.k unakuta wanacheza kwa spirit ya hali ya juu japo huwa wanapoteza lakini kuna muda unaona kabisa wamepiga mpira,ukija kwa Arsenal unakuta wachezaji ni kuruka ruka tu uwanjani utadhani wanamizigo ya mabusha kwenye bukta zao,yaani wachezaji hawana uchu na uchungu wa kupigania matokeo.
Serikali ya Uingereza isipofanya fitna kama ambazo tunaziona kwa chelsea sasa hivi kuhusu mmiliki wake,basi Arsenal bado tunasafari ndefu sana ya mafanikio.
Miaka 2 ijayo Arsenal itabaki kuwa historia tu kama Nottingham forest.
Huu ndiyo Ukweli.
BILA STAN KROΓNKE NA MAPUMBAVU WENZIE KUIACHA TIMU KWA HIARI YAO WANAPASWA WASHINIKIZWE
Sio issue ya mapenzi mpira ni jambo la wazi man u inabaadhi ya wachezaji ambao ni world class player kama Ronaldo,bruno, Pogba na degea wengine wote waliobaki ni average player sehemu ambazo Wana lack ya world class player ndio wapinzani wanatumia kuwaangamiza wanakamatwa kwenye midfielder na kupotezwa vibaya ni kwasababu Wana fred na mcmitominay uwezi kulinganisha na midfielders kama Kante, Kovacic wa chelseafc au Rodri na gundogan wa man city au hata fabinho na Thiago Alcantara wa liverpool.Ukija kwenye defenders kanisa hamna kituWe jamaa mapenzi yanakutibua daily hebu rudi MMU kwanza
Bro umeandika vizuri ila kila nikikumbuka jinsi unafurumisha nyuzi za kuelezea jinsi mwanamle wako alivyo mtamu mi naona komaa na MMUSio issue ya mapenzi mpira ni jambo la wazi man u inabaadhi ya wachezaji ambao ni world class player kama Ronaldo,bruno, Pogba na degea wengine wote waliobaki ni average player sehemu ambazo Wana lack ya world class player ndio wapinzani wanatumia kuwaangamiza wanakamatwa kwenye midfielder na kupotezwa vibaya ni kwasababu Wana fred na mcmitominay uwezi kulinganisha na midfielders kama Kante, Kovacic wa chelseafc au Rodri na gundogan wa man city au hata fabinho na Thiago Alcantara wa liverpool.Ukija kwenye defenders kanisa hamna kitu
π€£π€£π€£π€£ Ukiwa na mahusiano ya furaha ni raha asikuambie mtu kwahiyo mzee baba usinichoke nikimsifia mtu wangu kizuri share na wenzakoBro umeandika vizuri ila kila nikikumbuka jinsi unafurumisha nyuzi za kuelezea jinsi mwanamle wako alivyo mtamu mi naona komaa na MMU
Fala sana weweAser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanavaa kanga moja iliyolowa maji, wanakatiza mitaani wakitingisha wowowoo, wakisema chukua yote.
Sawa chiefπ€£π€£π€£π€£ Ukiwa na mahusiano ya furaha ni raha asikuambie mtu kwahiyo mzee baba usinichoke nikimsifia mtu wangu kizuri share na wenzako
Yeah timu pendwa duniani.Mabingwa wa DUNIA nzima View attachment 2179332
Sisi arse8 ni timu Bora nafasi ya tatu ni yetu sisi hatuna shida na nafasi ya nne, umeona Jana tulivyoupiga mwingi..?!!Arsenal must get the win today otherwise ni Tottenham Hotspur atakuwa na big chance ya kumaliza top 4 last season Brighton tulimfunga home and away but ni timu ambayo inatusumbua sana tukiplay nao na waliwahi kutubania nafasi ya top 4 tena Emirates wakati wa Unai
Nakazia Na nafasi ya tatu juu...π€£π€£π€£Haijalishi tunaenda kucheza mpira gani, muhimu POINT 3
#coyg
Hao wote manjesta na spurs ni takataka TU sisi tunaitaka nafasi ya tatu, hatutaki ya nne.Manchester chalii huyu tushamtoa kwenye race, kimbembe spurs
Sisi arse8 ni timu kubwa sana siyo midtable timu ..hatujafikia hatua ya kuomba timu ndogo kama astonivilla ishinde Ili itubebe sisi, tutake radhi tafadhali..,π π π πππGooners wote tunahamia Aston villa kwa mkopo, Stieve G, man, fanya mazuri.
Usimsaau na yule Lokonga, middle ya Dunia...Mimi shabiki wa arsenal ila sitegemei ije kuwa timu nzuri labda mpaka kroenke auze asepe. Yule siku sio nyingi atauza martinelli, saka, Rowe, ramsdale, odegaard na tienery then tutaanza upya.
Kwa kweli hatuna shaka, Jana kaupiga mwingi sana πππHata hivyo jinamizi mpaka kuwaacha kabisa barca itachukua hata nusu msimu ujao.
Sina shaka na uwezo wa Arteta
Ila masela mlichekeshaga umati mlipoanza kusema focus sasa ni kuiondoa Chelsea pale nafasi ya tatu.
Siku ile mlikua mmelewa?
"Sisi arse8 tunaitaka nafasi ya tatu* alisikia mlevi mmoja.
Tunaomba matokeo ya Jana tafadhali.
Hahahahaha maake apo ngoja ncheke kwanza πππππIla masela mlichekeshaga umati mlipoanza kusema focus sasa ni kuiondoa Chelsea pale nafasi ya tatu.
Siku ile mlikua mmelewa?