Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal 1 vs Brighton 2

Everton 1 Man u 00

Southampton 00 vs Chelsea 6
Sisi arse8 mbona tulishinda hii game mkuu ..nenda laivuskoo tena angalia vizuri dakika ya 98 na 97 Lokonga na arteta wanatupia tunashinda 3 kwa 2.
 
Kwa timu za spurs na Arsenal kwenda CL wala siyo kigezo cha kuletewa wachezaji wakubwa. Wote tuna wamiliki miyeyusho kwahiyo ulichosema hakina usahihi wa 100%

Hata Arsenal kutosajili CM dirisha la January ilikua ni huu ubahili pia umechangia.

Mi nilidhani red za Xhaka na injuries za Partey ndiyo zitatuharibia injury tayari bado kuona Xhaka atamaintain for how long
Kitu kinachotuua ni ufinyu wa kikosi lait kama tungekuwa na kikosi kipana wala kusingekuwa na hizi habari japo lolote hutoa kwenye football. Wachezaji wetu muhimu walicheza kwa kujituma sana mechi kadhaa huko nyuma na sasa wameanza kuandamwa na uchovu na majeraha. Bado tuko kwenye nafasi nzuri ya top 4 na hata 3. Suala ni kuomba wachezaji wetu warudi mapema
 
Hii ya ufinyu wa Kikosi hasa kwenye injini sio issue ya Kuijadili, maana wanaosababisha ni wenye ujeuri wao Arteta na Edu, tena ukizingatia wao ni ex mids na wanajua Game should be won on the middle and not upfront. Wao hili wameshindwa kureaddress,

Mimi sitaki kuwatetea maana kila kinachotokea kwa sasa walitakiwa kukuiona kwenye madirisha mawili ya usajili, but kwa kiburi waliamua kukopesha wanaoweza kuja kupluginns hizi holes na wakabakiza Sambi.

Tupambane na Hali zetu tutafika tu.
 
Kitu kinachotuua ni ufinyu wa kikosi lait kama tungekuwa na kikosi kipana wala kusingekuwa na hizi habari japo lolote hutoa kwenye football. Wachezaji wetu muhimu walicheza kwa kujituma sana mechi kadhaa huko nyuma na sasa wameanza kuandamwa na uchovu na majeraha. Bado tuko kwenye nafasi nzuri ya top 4 na hata 3. Suala ni kuomba wachezaji wetu warudi mapema
Bado mechi 8 msimu uishe.

Hakuna namna wachezaji watarudi mapema.
 
MkoPoKa kama unavyosema sasa kikosi kikiwa kifinyu nani alaumiwe?wa kulaumiwa ni kocha mpumbavu na technical wake dunia nzima ilipiga kelele mambo ya usajili mwishowe tukabaki na Laca na Nketiah kama forwards kwenye Mid Xhaka na Partey alone Arteta na Edu wana tabia ya kujiamini kumbe ni wapumbavu tu kuna players wameenda kwa loan timu zingine na wanaperform better kabisa imagine benchi la Arsenal la sasa hivi kuna vitoto majina yao hata hayafahamiki ndio wanakaa benchi unaona kabisa gameplan ikifeli au important player akiumia replacement hakuna
 
Sis arsenal na man u ni pipa na mfuniko aseeeeeee
 
Loans zipo kibao huko lakini majeruhi mmoja au wawili tu timu inapwaya, hem fikiria ni Partey, Tomiyasu, Tierney tu waliopo majeruhi na timu ina shake sio poa!

Arsenal imekuwa timu ya hovyo!
 
Watakuja watataja mbinu zake mara sijui nini but kiujumla kocha anayeshindwa kumanage wachezaji ni mpumbavu na hili limeonyesha kwa kipindi hiki for example majeruhi tu hao wachache timu imeyumba na dalili za kupoteza nafasi zaidi zinajionyesha sasa mfano Saka akiumia what next?why January hakusajili ?jibu ni hakuna
 
Edu aje atujibu why hakusajili!?

Kama bwana Mustach amenyima pesa aseme ili tumpasue muhusika na sio hizi za kubahatisha nani amesababisha tusijenge kikosi.

Pia Kiangazi watu wako bize sokoni sisi tulikuwa bize kuokoteza watoto ambao leo hawana Msaada.

And why kiraka AMN aliachwa aende loan, na kubakiza SAMBI!?
 
Kadiri ya Kocha bado kunavipigo tuvitarajie
Mwalimu hajui tena la kufanya mambo yamekuwa magumu
Screenshot_2022-04-10-12-15-36-25_955f68c4df44ad6a86e46b05cf65099a.jpg
 
Poor Arsenal, tukutibu kwa dawa ipi?
  1. Phenoxymethylpenicillin imekataa
  2. Mwaarobaini imekataa
  3. ARV imekataa
  4. Nyungu zote zimekataa
  5. Sasa imebaki maombi
 
Bado mechi 8 msimu uishe.

Hakuna namna wachezaji watarudi mapema.
Ambaye hana matumaini ya kurudi msimu huu ni Tierney ila Tomiyasu na Partey wanaweza kurejea mechi zinazofuata. Na tunaemhitaji zaidi ni Partey kwa ajili ya kuunganisha timu wakisaidiana na Xhaka alafu huku nyuma anaweza kumtumia Ben White km RB na Cedric km LB alafu Holding na Gabriel km CB hapo tayari anakuwa amerudi kwenye mfumo wake wa 4-2-3-1 ambao ameutumia na kumpa matokeo
 
Poor Arsenal, tukutibu kwa dawa ipi?
  1. Phenoxymethylpenicillin imekataa
  2. Mwaarobaini imekataa
  3. ARV imekataa
  4. Nyungu zote zimekataa
  5. Sasa imebaki maombi
Lembua akipita huku anatingisha mzigo kuvutia wanunuzi wapya.

Mna nauli ya kwenda Hispania?
 
Arteta aende kwa Ivan toney haraka, Goal contribution 19 G+A kwa mechi 31. I like Ivan Toney, he is better than lacazette.
 
Yaani player kama huyu unategemea akupeleke Champions league mamamae?na kocha bado awe Arteta?this is a big joke tunaongea sana you must need players ambao wapo ready kupambana kwenye vita kubwa na pia player anahitaji coach ambaye atamjenga na kuwa big star vyote viwili kati ya player na coach havilink kabisa hapo
 
Edu aje atujibu why hakusajili!?

Kama bwana Mustach amenyima pesa aseme ili tumpasue muhusika na sio hizi za kubahatisha nani amesababisha tusijenge kikosi.

Pia Kiangazi watu wako bize sokoni sisi tulikuwa bize kuokoteza watoto ambao leo hawana Msaada.

And why kiraka AMN aliachwa aende loan, na kubakiza SAMBI!?
Yaan ad leo najiuliza kwa nin walimuachia AMN
 
Back
Top Bottom