42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,836
- 8,874
makasirikoSio makasiriko, kwani ili uonekane umepinga mpaka utoe matusi/kuita watu ng'ombe!!!??
makasirikoSio makasiriko, kwani ili uonekane umepinga mpaka utoe matusi/kuita watu ng'ombe!!!??
Man city hajawahi kuchukua UEFA je sio timu bora?Yeah, kuchukua UEFA ni moja ya factors inayoonyesha ubora wa team.
Hata kushiriki UEFA nayo ni dalili ya ubora, isingekuwa hivo Timu zisingekuwa zinahangaika kuingia Top 4.
Nikuulize wewe, unapima ubora kwa mzani upi???
Kitu gani Arsenal wamefanya, mpaka unasema ni bora
Uefa haihitaji timu dhaifu kama nyie mtakuja kuaibisha Tu labda aje Conte.Nadhani mnamuona Darwin Nunez anachokifanya huko Uefa
We have to qualify to champions league in order to get such Dude
Hiyo arse8 ya 2015 haikuwa Bora ...ni kwamba timu zingine zilikuwa dhaifu..Man city hajawahi kuchukua UEFA je sio timu bora?
Kwani unaweza kushika nafasi za juu ikiwa haushindi mechi zako?
Kuwa bora ni pamoja na kuwa na kikosi cha wachezaji wenye class kubwa ambao wanaweza kushindana na mpinzani yeyote lkn pia uwe na kikosi kipana kiasi kwamba hata kukiwa na majeruhi au suspension ya mchezaji kusionekane pengo.
Sasa je class inaletwa na nini? Inaletwa form. Km mchezaji anakuwa na form nzr na akawa na mwendelezo wa hiyo form hapo anahama na kuingia kwenye class yan ukishafikia kwenye class ujue hata ukiwa na form mbaya kwenye mechi bado utabebwa na class yako kwa kuwa muda wowote unaweza fanya kitu.
Arsenal ilikuwa bora sana mpaka kufikia 2008 baada ya hapo ilianza kushuka taratibu mpaka 2016/17 ndo ilishuka na kushindwa kumaliza ligi katika nafasi 4 za juu. Na sasa timu ipo katika kujijenga ili irudi kwenye ubora wake na process inaenda vzr. Na kwa kukukumbusha tu ni kwamba 2015/2016 Arsenal alimaliza nafasi ya pili nyuma ya Leicester city, je hakuwa bora??
Fred, scott mcmitonay, shaw, magwaya, Alex telles, victor lindelof, Rashford,Elanga wanaweza kuingia kwenye vikosi vya Chelsea, Man city na Liverpool?Bro on paper United ina kikosi kizuri, world class, usibishe.
Starting 11 ya United yote inaitwa national team.
Kudai United haina kikosi superior ni uongo.
Last time Arsenal won a trophy ni kweli Trump alikua rais. Na last time united won anything ilikua Trump ni nani?
Arteta bado hawezi fananishwa na makocha wengi wakubwa wakubwa ila jamaa ni mzuri na anaelekea huko kwenye ukubwa.
Working wonders with the squad he has.
We jamaa mapenzi yanakutibua daily hebu rudi MMU kwanzaFred, scott mcmitonay, shaw, magwaya, Alex telles, victor lindelof, Rashford,Elanga wanaweza kuingia kwenye vikosi vya Chelsea, Man city na Liverpool?
Kwanini wasiingie na kwanini waingie?Fred, scott mcmitonay, shaw, magwaya, Alex telles, victor lindelof, Rashford,Elanga wanaweza kuingia kwenye vikosi vya Chelsea, Man city na Liverpool?
Kwa mtazamo unapopata ushindi takwimu za expected goal kubwa zina raha kwa sababu zinakupa mukhtasari wa jinsi timu ilivyoperform kwenye ushambuliaji, kinyume na hapo nazichukulia kuwa ni mbwembwe zinazoongezea ladha ya ubishani na matumaini hewa. kwa mfano mechi yenu muliopata ushindi wa magoli 3 kwa 2 dhidi ya watford ni uthibitisho tosha. watford walikuwa na XG ya 1.42 huku arsenal wakiwa na XG ya 0.92. Kiupande wetu tokea aje ralf rangnick tumekuwa na takwimu nzuri kama hizo, chance created na big chances created lakini matokeo yetu bado yameendelea kudorora.View attachment 2177906hizi ni takwimu za mechi yenu dhidi ya watford iliochezwa march 6. Bado nawapa nafasi ya kushika nafasi ya 4 kuliko timu nyengine.
umeshiba kande Nini!!!
nilichokiandika na ulichojibu ni njia mbili tofauti(niliwahi kukwambia una tatizo la kukurupuka kujibu).huko nyuma will jr alimdiscredit vieira na alisema arsenal walikuwa bora zaidi ya crystal palace na akatolea mfano wa takwimu za XG kwa upande wa arsenal licha ya kufungwa goli 3 walikuwa juu ya crystal palace. Mimi nikatolea mfano wa mechi yao dhidi ya watford, kupitia mechi hiyo kwa takwimu za XG arsenal alizidiwa licha ya kushinda goli 3. juzi kipindi cha pili walicheza vizuri sana ndio maana nikasema bado wana nafasi ya kupata nafasi ya nne, au ulitaka niitaje manchester united kuwa wana nafasi ya kushika nafasi ya 4 kuliko arsenal?. Licha ya kufungwa kwao hilo haiondoi ukweli wa kwamba timu yao ina muunganiko bora kuliko manchester united licha ya kwamba ndio timu ninayoishabikia.umeshiba kande Nini!!!
Chance created!!!!! Kwamba chance created Kwa Watford ndo uthibitisho wa Arsenal kumaliza top four!
Unatoa takwimu Kwa mechi iliyo pita badala ya kuangalia opponent atakao kutana nao kwenye next fixture.
Ambacho haujaelewa ni kipi hapo?nilichokiandika na ulichojibu ni njia mbili tofauti(niliwahi kukwambia una tatizo la kukurupuka kujibu).huko nyuma will jr alimdiscredit vieira na alisema arsenal walikuwa bora zaidi ya crystal palace na akatolea mfano wa takwimu za XG kwa upande wa arsenal licha ya kufungwa goli 3 walikuwa juu ya crystal palace. Mimi nikatolea mfano wa mechi yao dhidi ya watford, kupitia mechi hiyo kwa takwimu za XG arsenal alizidiwa licha ya kushinda goli 3. juzi kipindi cha pili walicheza vizuri sana ndio maana nikasema bado wana nafasi ya kupata nafasi ya nne, au ulitaka niitaje manchester united kuwa wana nafasi ya kushika nafasi ya 4 kuliko arsenal?. Licha ya kufungwa kwao hilo haiondoi ukweli wa kwamba timu yao ina muunganiko bora kuliko manchester united licha ya kwamba ndio timu ninayoishabikia.
Jamaa amekamia UCL.Mkuu Castr unamuonaje Unai😅
kiazi kisa yupo nafasi ya sita?Jamaa amekamia UCL.
Kwenye ligi katoka kutembelea kipigo kutoka kwa levante na cadiz.
Na sasa hivi anashika nafasi ya saba with slim chances kuingia namba 6 na 5 so amefanikiwa kuwafanya wachezaji wake wajue kua way in kwenye UCL is thru UCL na siyo kwenye ligi.
Hata hivyo chances za kuchukua kombe la CL nafikiri ni next to impossible.
So sooner or later ataonekana ni kiazi tu.
Sijakuelewakiazi kisa yupo nafasi ya sita?
au kisa yupo robo na kampiga mwingi bayern?