Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie hamna uwezo wa kufuzu UCL


Aston Villa
C. Palace
Brighton
Southampton
Chelsea
Man. United
West Ham
Hahahah! List bado inaendelea, kituo kinachofuata ni kwa watakatifu msije mkadanganyika na wao kufungwa leo.

Kuna watu walisema hii fixture ni rahisi na hakuna timu ya kuwatisha.
 
hivi mazon bado wanatengeneza ile movie yetu? nahisi tumeamua kutengeneza mazingira ya kuwa na dramatic end
 
Hv hakuna namna magoli ya chelsea kuhamishiwa kwa arsenyanye
 
Kukosea kupo shee, arteta leo kachemsha kwenye selection ya kikosi lakn haipunguz kitu bado n kocha mzur, tuendelee kumvumilia

Hakuna kitu mle, timu haina creativity, kila mtu anacheza anavyojisikia,Mseme kuna kocha humo?
 
Tokea kocha wenu apate tuzo ya kocha Bora WA mwezi naona mambo yamekuwa si mambo kwake
 
Halafu kitu kimoja.

Kwanini asicheze back 3?

Aovercrowd mid kwakua hatuna mid.

Mbona anatia shaka sasa
Hata sielewi sijui ana presha na matokeo huyu? Mpira wa arteta kama hana midfielder ya maana pale basi hakuna kitu ataambulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…