Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
as i wrote early, yesterday defeat was very embarrasing, let's bring our emotions down before we ignite anger. tuongelee udhaifu na strength zetu. haipendezi tuwe mfano mbaya kwenye uzi wetu kwamba tukifungwa, wenyewe kwa wenyewe tuanzisha ligi yetuMkuu, sitaki kusound arrogant ila fanbase yetu bado sana kuelewa football technical-wise, naweza kuonesha comment yangu wakati mechi inaendelea na comment ya Mikel Arteta in a post match conference uone nachokiona mimi na kwanini nasema viera hakuwa na maajabu yoyote. Ukiangalia football kwa final result hutokuja kuelewa mpira kamwe na ndio ishu inakupata wewe ndugu leo unataka timu kesho, unasifia timu.
😂😂😂😂😂😂Another brilliant result for Arsenal. We can’t let this opportunity slip on Monday.
Kwambaaa😂😂😂Yan bora Chelsea wangeshinda tu,
Maana wamemtafutia matatizo crystal palace,
Tobo la kuingia top 4 tunaliona hili hapa alafu sijui nani tunakutana nae!!!
Mniga partey, xhaka, odegard, saka, martinel
Sipatii picha jinsi Watakavyo chafukwa
Badala yake, wanaume wamemaliza pakiti nzima kwenuAcha nidhamu ya uoga
Kesho anapelekewa moto hivyo hivyo na ugumu wake. Vijana wa arteta wamewaka
😂😂😂😂😂Kufungwa kwa chelsea
Ushindi huu wa spurs
Naona kama wamemtafutia matatizo patric V
Yan partey, saka, odegard, martinel, xhaka, waambiwe tumeshushwa top 4, kwaio tunahitaji ushindi wa damu, machozi na jasho
Sidhani kama kutakua na usalama
Jini letu kama kawida lipo pale golin. Ata inzi hapita
Point ya msingi "Hii timu inachekesha"Hii mechi alitakiwa aanze Martineli, kuwakimbiza na kuwachosha. Hii timu inachekesha, players not in the game
ExactlyMambo ya kisenge
😅😅😅😂😂🙌Tunapindua meza
#COYG
Mshaanza kumsimanga Coach of the month tena😅😅Ukweli tuuseme Viera is smarter than Arteta
Akichwali we don't see Arsenane 😂😂Trouble starts here, partey injured, Tierney injured, tomayasu injured where do you see Arsenal ?
Will Jr anaangalia mechi chache za timu zingine kisha anarely kwenye stats.uwa natofautiana naye when claims that he sees what don't see in football.
Bob hapa ni kuanza dua mbaya kwa wengine.Trouble starts here, partey injured, Tierney injured, tomayasu injured where do you see Arsenal ?
mysterio kasema Partey majeruhi.Poleni Gunners wenzangu. This was the most humbling experience of the season for us. Sasa kazi inaanza. Tutarespond vipi?
Hiyo ilikuwa habari mbaya kabisa ya mechi yaani. Ukizingatia fullbacks nao pia majeruhi. Tumejikuta katika wakati mgumu
I was very sceptical jana yote, ndio maana nilikuuliza unaona mechi itakuwaje! Nikiwaza jinsi Vieira alivyomsimamisha man city na kupata 4points kwake, sisi lazima tungechezea tu!!as i wrote early, yesterday defeat was very embarrasing, let's bring our emotions down before we ignite anger. tuongelee udhaifu na strength zetu. haipendezi tuwe mfano mbaya kwenye uzi wetu kwamba tukifungwa, wenyewe kwa wenyewe tuanzisha ligi yetu