Well....Tumetolewa,all I can say is pamoja na kuzidiwa mchezo lakini refa kaharibu mchezo kwa kumpa RVP red kwa kosa la kupiga mpira a second after the whistle,kutoka kwa RVP kumetumaliza maana tushaanza kurudi kwenye msitari....This was unafair kabisa.....Na tatizo lingine ambalo daima naliongea ni AW kupenda kujitakia kufungwa kwa kuendelea kumbeba Abou Diaby mchezaji ambaye daima yu legelege badala ya kumuanzisha Denilson..........Na Almunia auzwe haraka sana
Otherwise hongereni sana 'mashabiki' wote wa Barca akina Manda,Papizo et al.......Na pia shukrani kwa Eqlypz na MTM kwa kuwa pamoja nasi na kututia moyo katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.....Tumekufa kiume though
Poleni sana the gunners wenzangu akina Mbu,AW,Baba Mkubwa,my Michelle,Quest,Richard,Ng'wanza Madaso,Next Level,Consultant na wengine wote....Tujipange kwa msimu ujao wa UEFA.....
Mbarikiwe sana