Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

A journalist (not sure who) asked Arteta post the game

‘What happens to determine if you man mark or zone mark in set pieces’?

A brilliant question. Would love for football journalists to ask more tactical questions like these.
 
SO SAD kwamba Kuna watu hawaoni kwamba, tunapiga hatua, SO SAD.
FB_IMG_16477556080601548.jpg


Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Arteta kasema tuna safari ndefu kwakua kwa mechi ambayo tulionekana dominant kama jana ilitakiwa tuscore goli la pili na la tatu.

Mimi namuunga mkono.
 
Optimistic for top four, but we dont have the quality that is needed from our manager. We need to recruit someone who can empower this youthful squad with skills to challenge with europe finest
You're not serious, Arteta is doing a great job so far, he's built a strong defence that doesn't leak goals easily, in the middle of the park we're just a man away from being a strong midfield.

We have to trust the process!!
 
Mimi natamani Lacazette apewe kandarasi mpya ya 2 years. Tunamuhitaji bado kama backup na aprovide leadership.
Huyo msimu ujao atakuwa benchi au atasepa kwenda France lazima Arsenal atafute forward mwenye vitu vyote viwili kama enzi za kina Suarez tatizo kubwa la Arsenal ni hapo mbele Laca kwenye finishing ni tatizo kubwa ana goli 6 pekee this season kwenye EPL siku kina Saka Smith Row Odeegard Martinelli wakiwa vibaya basi timu tutascore goli la bahati au Arsenal akascore nothing
 
Nilikuwa nasubiria goli la kusazawisha tu mechi yote dk za lala salama ilibaki kidogo Ings atupe furaha mashabiki wa muda wa Aston Villa.

Ila mimi nawajua nyie Arsenal, kabla hamjafika kwa Chelsea ni lazima mta-drop points kwa Palace, Brighton au Southampton hii ya leo yenyewe mmebahatika tu.
Msimu huu hizo dua mtapiga sana ila tunatoboa. Ukitaka kufanikiwa labda iwe game na Shit au Fools walau hutakiwa umepoteza Muda kuweka Dua zako
 
Back
Top Bottom