Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
STAR BOY SAKA !!
✍Baada ya kutumia energy kubwa sana Jumatano dhidi ya Liverpool , leo Arsenal hawakuhitaji kutumia sana nguvu kuwafunga Aston Villa na kukusanya alama 3 nzuri sana kwenye mbio za Top 4 .
✍Mikel Arteta aliendelea na mfumo wake ule ule 4-3-3 wenye false number 9 na namba 8 wawili ( Odegaard na Xhaka ) . Passing kwa Arsenal ilikuwa ya ufanisi sana , movements zao hasa kipindi cha kwanza ambapo kirahisi sana wangeweza kufunga goli zaidi ya moja .
✍Stevie G alichelewa sana kubadilisha muundo wake wa timu ...Coutinho na Buendia walikuwa nyuma ya Watkins huku Ramsey Luiz na McGinn katikati katika mstari mmoja ( horizontal ) ... shida ilikuwa wapi
1: Coutinho na Buendia wapo ndani sana maana yake Cedric na Tierney hawazuiwi wakiwa na mpira .
2: Tierney na Cedric wakisogea juu, inalazimika Ramsey na McGinn ndio wawafuate wakifanya hivyo wanaacha space ndani kwa Odegaard na Xhaka kuwa huru kupokea mpira na kupiga pasi mbele .
3: Mabeki wao wa pembeni ilikuwa ngumu kusogea juu ( Young na Cash ) hasa kipindi cha kwanza kwasababu mbele yao hakuna msaada na wakati huo huo Saka na ESR wame switch ON kushambulia space itakayoachwa wazi na hao mafullback wawili wa Villa .
✍ Kipindi cha pili ulihisi Stevie G anaweza kufanya mabadiliko mapema , kubadilisha kutoka 4-3-2-1 na kwend! 4-4-2 ( Buendia na Coutinho OUT ) na Traore na Bailey IN pamoja na Jacob Ramsey kumpisha Danny Ings maana yake
1: Ings na Watkins washambuliaji wawili mbele
2: Bailey na Traore wingers
3: McGinn na Douglas Luiz kwenye kiungo
✍Arteta anastahili pongezi kubwa kwa kusoma nyakati za mchezo ( Game Management ) alipoona ngumu kufunga goli la pili akaona asifungwe yeye ...kuingia kwa Rob Holding na kutoka 4-3-3 na kwenda 5-2-3 wakiwa na mpira na 5-3-2 bila mpira .
NOTE
1: Aston Villa wamepata shot on target dakika ya 94 😀
2: Kakosekana Martinelli lakini Smith Rowe kauwasha vizuri tu 🔥
3: Stevie G leo alimuonea aibu tu mwanae Coutinho ...mbrazil leo alikuwa Unga sana aisee 😀
4: ARSENAL WANADAIWA ALAMA 5 TU DHIDI YA CHELESEA NA WAMEWAACHA UNITED KWA ALAMA 4 NA MCHEZO MMOJA MKONONI...
✍Arsenal wanaweza kuwafikiria Chelsea zaidi kuliko Man United West Ham na Spurs.
AMBANGILE

Ashley Young: