Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

EPL ni ligi ngumu sana. Auba anaongezeka kwenye list ya strikers walioondoka PL na wana-shine kwengine.

Tammy Abraham
Sebastian Haller
Lukaku (Karudi tena imemkataa)
Kule La Liga hua naona timu chache sana zinaingia huku priority ikiwa defense nyingi hua naona zinafanya 50/ 50 haziman mark tofauti na Atletico na Valencia.

Ukiachilia low block na man mark za Epl nafikiri pia yeye mwenyewe hakua motivated kujitoa uwanjani na pia Arsenal huyu Partey na Odegaard hawakua na vision na accuracy ya pasi kama waliyoionyesha hivi karibuni.
 
Bro be serious basi sometimes mtu mwenye kiatu cha dhahabu EPL unasema ligi ilimkataa?wangapi ambao walikuwa best forwards hivo viatu hawana?
Huyu Kane unayemuona sasa hivi kama mzururaji hapo uwanjani alishinda kiatu cha dhahabu na tuzo ya mtoa assisst kipindi cha Mourinho. Baada ya pale maisha yake yamekuaje?
 
Screenshot_2022-03-21-09-48-17-853_com.twitter.android.jpg

Jamani mnasalimiwa huko.
 
Huyu Kane unayemuona sasa hivi kama mzururaji hapo uwanjani alishinda kiatu cha dhahabu na tuzo ya mtoa assisst kipindi cha Mourinho. Baada ya pale maisha yake yamekuaje?
Hapa unamaanisha kuna kipindi mchezaji anaweza akapitia kwenye stage ya either majeruhi au mambo binafsi Hazard Bale Coutinho Owen na wengine kibao walienda la liga na viwango vikashuka kupitiliza
 
Kitu usichokielewa mkuu kuna namna mbili kuu za kutafuta goli, mfano 1. Through settled possession 2 . Transition.

Dhidi ya Liverpool wao walikuwa na Rest defence zaidi ya Villa, na kwa vile hatukuwa na quality ya kucheza Settled possession dhidi yao ilibidi tuifanye kuwa a Transitional game kama pasi za haraka tukiregain possession, haiwezi kuwa sawa na Villa hawa tulitafuta goli thru a settled play ndio unaona interplay btn expansiveness kama side passes and compactness sio kama tulicheza badly, japo inawezakana kuna moments timu iliunderperform.

Katika mechi ngapi tulishinda tukicheza kwa huo mtindo unaousema?
 
Hapa unamaanisha kuna kipindi mchezaji anaweza akapitia kwenye stage ya either majeruhi au mambo binafsi Hazard Bale Coutinho Owen na wengine kibao walienda la liga na viwango vikashuka kupitiliza
Upo sahihi. Sometime kuhama kunarestore kiwango cha mtu ndiyo alichoonyesha Lukaku Inter. Auba ni scorer mzuri ila nyavu za epl siyo rafiki tena kwake
 
Upo sahihi. Sometime kuhama kunarestore kiwango cha mtu ndiyo alichoonyesha Lukaku Inter. Auba ni scorer mzuri ila nyavu za epl siyo rafiki tena kwake
Mimi nadhani shida ni attitude au kutokaa vizuri na Arteta. Nilikuwa nasema Arteta hakummanage vizuri Auba ila nikaelimishwa kuwa jama naye alizidisha kiburi hivyo ikabidi tu aachiwe aende. Ila isingekuwa hivyo, kwa Arsenal ya hizi mechi 10 hivi nadhani Auba angekuwa na magoli mengi tu angekuwa kikosini
 
Mtu ana Golden unasema EPL ilimkataa?seriously?
Misimu yake miwili ya mwisho ipoje? Salah pia mbona EPL ilimkataa miaka hiyo kwenye Chelsea ya moto.

Basi tuseme dk za mwisho ligi ilimshinda au Arsenal ndiyo ina shida au migogoro ilishusha kiwango chake?
 
Exclusive according to
@David_Ornstein

.. Arsenal had a preliminary conversation with the Bukayo Saka camp regarding a new contract.. His current contract extends to 2023 + an option to extend for another season.. The club recently met with the agent and explained his intentions. Arsenal is expected to make an official offer soon.
 
Misimu yake miwili ya mwisho ipoje? Salah pia mbona EPL ilimkataa miaka hiyo kwenye Chelsea ya moto.

Basi tuseme dk za mwisho ligi ilimshinda au Arsenal ndiyo ina shida au migogoro ilishusha kiwango chake?
I can say Migogoro ndiyo ilishusha kiwango chake ila kutaka kusema EPL ilimkataa Auba ni utomvu wa Nidhamu na alifanya jambo la maana kwenda abroad means angepata team hapo hapo EPL ingekuwa ni jambo la hatari
 
mimi fan wa auba huwa sipendi stats za hivi. naamini kuna factors zingine kadhaa kwa timu kiujumla ambazo zimeimprove (defensive unit, odegard chance creation, partey kuwa ultimate beast wa midfield, martinelli form, saka confidence...)

tunaonekana tunajimwambafy tu kwamba we're better without him ila siwezi acha kufikiri angekuwepo tukicheza hivi tungekuwa hatari vizuri tu. auba kwenye form na mwenye spirit nzuri ni moto wa kuotea mbali timu yoyote ile aichezeayo
 
Ni kweli.ila tujiulize aina ya mpira anoutaka arteta wa highline pressing,link-up play kwa striker na highest work rate for each individual haya anayamudu auba,tusisahau arteta anajenga timu ambayo haina star ila Ina team-play.
 
Auba alichomzidi Lacazette ni kua Auba yeye ni clinical katika finishing.

Na primary role ya CF ni kufunga hiki kitu ndicho kina m discredit lacca dhidi ya Auba.

Ila katika modern football majukumu ya CF yameongezeka sana ,Na hayaishii kwenye kufunga tu kuna ku press na ku create chances..

Nafikiri Auba mfumo ulimkataa maana alishindwa ku execute roles za false#9..

Angalia sasahivi timu ikiwa inashumbulia inakua ina flow nzuri sana..

Lacca huwa anafanya kazi kubwa sana.. unfortunately anakua discredited kwakua hafungi..
 
It was time for him to go. Tulihitaji matokeo zaidi ya drama na hapa ndio tulipotofautiana nae.
 
Back
Top Bottom