Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sikutegemea kufanya vizuri sana mechi ya leo japo nilikuwa na matumaini ya kupata matokeo. hii ni kutokana na mechi ya katikati ya wiki dhidi ya liverpool. Mechi iliyopita tulienda kutafuta matokeo hivyo nguvu kubwa sana ilitumika kwa wachezaji na muda ulikuwa mfupi sana kwa wachezaji wetu kupumzika kufikia mechi ya leo.

Kipindi cha kwanza angalau timu ilionekana kutafuta magoli na tukatengeneza nafasi kadhaa ambazo moja wapo ikawa goli. Kipindi cha pili ni km wachezaji wetu walichoka(fatique) na hapo nadhani kocha akaona ni bora kulinda tulichonacho kuliko kukipoteza. Timu ikaanza kujilinda na hatimae tumepata point 3 muhimu.

Matumaini yangu ni kwamba kwa vile tunaenda kwenye mapumziko ya wiki mbili ya kalenda ya fifa nadhani tukirudi tutakuwa na moto km wa mechi sita zilizopita kabla ya Liverpool
 
Mkuu ahsant japo najua huu ushindi unakuumeni sana united
Nilikuwa nasubiria goli la kusazawisha tu mechi yote dk za lala salama ilibaki kidogo Ings atupe furaha mashabiki wa muda wa Aston Villa.

Ila mimi nawajua nyie Arsenal, kabla hamjafika kwa Chelsea ni lazima mta-drop points kwa Palace, Brighton au Southampton hii ya leo yenyewe mmebahatika tu.
 
Kushinda hii game maana yake tume improve kiwango, kawaida yetu tulikua tunakufa hii game,

Tuna misimu michache sana tuna rudi kua giant

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Process mzee, zaidi tufurahie tu Ushindi. Kuufunfibsitarajii Teta aje kuwafunga Pep na Jurgen, na kushundwa kuwafunga hao ni mark time ya kuukosa Ubingwa jama kawaida.

Ka muhimu kwa sasa no return of we are the champion night basi
 
Nilikuwa nasubiria goli la kusazawisha tu mechi yote dk za lala salama ilibaki kidogo Ings atupe furaha mashabiki wa muda wa Aston Villa.

Ila mimi nawajua nyie Arsenal, kabla hamjafika kwa Chelsea ni lazima mta-drop points kwa Palace, Brighton au Southampton hii ya leo yenyewe mmebahatika tu.
Taja kwanza wewe timu gani? Mbona unateseka sana
Mimi sio Arsenal lakini tangu atoke agent Luiz na Willian na baadaye Auba, Arsenal imekuwa strong na defence haina makosa zembe tena
 
Taja kwanza wewe timu gani? Mbona unateseka sana
Mimi sio Arsenal lakini tangu atoke agent Luiz na Willian na baadaye Auba, Arsenal imekuwa strong na defence haina makosa zembe tena
Arsenal tunawafahamu vizuri miaka yote wanajifunika shuka kunapokaribia kupambazuka, hao ni homa ya vikindu
 
Optimistic for top four, but we dont have the quality that is needed from our manager. We need to recruit someone who can empower this youthful squad with skills to challenge with europe finest
Let's keep the hopes high brother 💪🏿, The rest will come, it's a process Arteta believes on, and on my eyes it is paying off.
Mfano is how we handle small games so far, when is the last time you saw us confidently defending like this?
Timu inahitaji muda kujifunza (kupitia makosa pia)
The good thing is we have a man who has a viable plan in action .
 
Jambo lililowaz arteta anafanya kaz chini ya personal pressure kubwa na hii unaiona hata namna wachezaji wanavyofanya maamuz kwa hofu kuu.team itulie issue ya champions league inaweza ikafanya tukazid cheza ovyo
Game ya Liverpool team ilienda kutafuta ushindi in every possible way,ila Leo timu ilienda kujizuia isifungwe kwa baada ya matokeo ya wiki iliyopita.lazima wachezaji na kocha watulie washughulike na mechi iliyo mbele yao hayo ya champions league tutayajua mech ya mwisho
Nakataa mkuu. Leo game plan was to paralyze the whole game and don't start running games against villa who were fresh. Sisi big talking point for the past two days ilikuwa ni kuhusu kucheza Leo mapema hivyo tulikuwa tumechoka sana na hatukutakiwa kukimbizana sanaa maana tungeweza pata injuries kirahisi sana. Ndio maana game ikawa na back na side passes nying.
 
Nilikuwa nasubiria goli la kusazawisha tu mechi yote dk za lala salama ilibaki kidogo Ings atupe furaha mashabiki wa muda wa Aston Villa.

Ila mimi nawajua nyie Arsenal, kabla hamjafika kwa Chelsea ni lazima mta-drop points kwa Palace, Brighton au Southampton hii ya leo yenyewe mmebahatika tu.
Hahahahahaahah ndugu zetu Manchester United safari hii mtasubiri sana top 4 hampati
 
Kuna watu huwa wanaona negatives tu, wanatafuta wapi tunakosea bila ya kuangalia how far we've come to build with team again to play as a competitors.

So usishangae.
jamaa coment zake anaona negative tu, mfatilie, hivi timu gani aichezi nyuma? ni timu gani inacheza mbele tu na hapo villa walikuwa na 0 on target
 
Ukishaona Holding anaingia dakika za jioni afu akatoa maelekezo na vidole kwa wenzake ujue ngoma imelala, hamna kuruhusu goli 😅😅
 
Back
Top Bottom