Very trueKuna mambo mengine tusisingizie ukosefu wa ST kuna chances 3 tungeweza kupata magoli 2 za Emile na 1 ya Saka lakini hatukuziconvert.
Hawa hawa tulionao inabidi wastep up katika finishing huyo ST hatokua katika kila nafasi ya kuscore zingine ndiyo za wakina Emile na Saka
Mkuu have faithSideway passes na back passes
Haya maisha nilidhani tumeshaachana nayo
Mkuu ahsant japo najua huu ushindi unakuumeni sana unitedMASSIVE WIN!
Hongereni Arsenal, kwenye top 4 race unahitaji ushindi kama huu, hamjacheza vizuri lakini mmeondoka na points 3. Bado mimi kama shabiki wa United naamini hamuwezi kucheza UCL msimu ujao.![]()
we think abt top three nowTukiwafunga la pili wameisha, West ham - Spurs watoe sare, Man United tutamalizana Emirates then tunasecure top four.
Leo nimeangalia hii mechi Nikiwa kibanda umiza with My Martin Bianco, sorry for My typing errorsPepe kampa Coutinho short on target pekee Bro mysterio mtu wako ana problem gani?kadri siku zinavyoenda anapoteza confidence?
MASSIVE WIN!
Hongereni Arsenal, kwenye top 4 race unahitaji ushindi kama huu, hamjacheza vizuri lakini mmeondoka na points 3. Bado mimi kama shabiki wa United naamini hamuwezi kucheza UCL msimu ujao.![]()
Kuna game moja ya kiporo away to Spurs piaGame hizi hapa ndipo pa kutokea hizi fixtures zilizobakia ni za kawaida tu kwa Arsenal ya sasa Arsenal sidhani kama itaogopa timu hizi zingine sidhani View attachment 2156934
It's about timing the time mkuu,tujipe moyo after two or three years tunaweza rudisha Highbury eraAsante Mungu kunifanya niwe arsenal supporter
Jambo lililowaz arteta anafanya kaz chini ya personal pressure kubwa na hii unaiona hata namna wachezaji wanavyofanya maamuz kwa hofu kuu.team itulie issue ya champions league inaweza ikafanya tukazid cheza ovyoSideway passes and back passes give you possession but not an edge in scoring you just have the ball but you are never a threat.
The Arsenal played against liva inal our previous match did a lot of forward runs and the whole team was moving. You could see the desire to win, to get forward and try to put the ball into the net.
With sideway passes and back passes the team relies on crosses and if an opponent captures the ball before you regroup then it's an easier counter move.
Previous season saw us struggling with winning and scoring mainly because we only did sideway passes and back passes. Many games finished with us beat 1 nil, I hope this will change.
Msalimie kepteni wetu Man Magwaya,kwani Magwaya akicheza majirani tuna furaha.MASSIVE WIN!
Hongereni Arsenal, kwenye top 4 race unahitaji ushindi kama huu, hamjacheza vizuri lakini mmeondoka na points 3. Bado mimi kama shabiki wa United naamini hamuwezi kucheza UCL msimu ujao.![]()