makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,754
- 103,692
Ni vema jukumu la kufunga likawa ni la kila mtu, sababu team inatengeneza nafasi za kutosha, sasa haiwezekani watu wakose nafasi lawama tume CF, nafasi tunazotengeneza zinatokana pia na aina ya uchezaji wa laca na kazi kubwa anayopiga uwanjani.Huyo msimu ujao atakuwa benchi au atasepa kwenda France lazima Arsenal atafute forward mwenye vitu vyote viwili kama enzi za kina Suarez tatizo kubwa la Arsenal ni hapo mbele Laca kwenye finishing ni tatizo kubwa ana goli 6 pekee this season kwenye EPL siku kina Saka Smith Row Odeegard Martinelli wakiwa vibaya basi timu tutascore goli la bahati au Arsenal akascore nothing
Tumhukumu laca kwa nafasi za wazi atakazokosa na si kwa timu kukosa magoli.
unakuaje dominant na haujacheza vizur
"
sijui ni problem gani ilimkuta msimu huu Arsenal all in all hongera zake