Hope za kijinga ni kusema kwamba tuna uwezo wa kumfunga chelsea?? Timu kubwa ni ngapi na timu za kawaida ni ngapi?? Kwahiyo kwako unaona ni bora kumfunga liverpool au Man city alafu kwa wengine tukapoteza??Tusi ni lipi hapo tuanzie hapa kwanza?ndiyo unajipa hopes za kijinga kitu ambacho hakina mantiki
Baadhi ya fans kama nyie mna mdomo sana wakati timu ndiyo kwanza inajengwa tukishinda baadhi ya games tena mechi za kawaida makelele kibao jana tumekutana na Giant sasa hivi tunaendelea kujipa hopes ni Liverpool tumeplay nayo Yes but kuna big games bado zinakuja tuache kelele sana tusubiri May kama tutakuwa Top 4 itakuwa jambo la heri na la kufurahisha kwa sasa ni mapema sana kuanza kelele ambazo hazina mantiki
Arsenal anamadhara gani hadi watu waiombee ifungwe! anatofauti gani na Everton, Arsenal ushinde usishinde huna madhara na hunachakupoteza.Yaani kuna watu wnaomba arsenal ifungwe wapate cha kusema hahahaahhaha
Imecheza mechi nyingi ngapi?Chelsea ndio timu iliyocheza mechi nyingi msimu huu bila kupumzika na hapo ipo nafasi ya tatu ingekuwa ni Arsenal na hicho kikosi chenu sijui mngekuwa nafasi ya ngapi
We jamaa acha kula wasaidizi wa ndani mimi nina namba ya mtoto mkali. Kuku wa kienyejiMkuu usichokijua kwa hawa mashabiki maandazi unapoongea ukweli inakua ni tusi kubwa sana kwao, mashabiki wa hii timu muda wote wanapenda kusikia maneno matamu matamu ya matumaini na kuisifia timu yao.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ki ukweli IQ yako ipo juu zaidi kuliko mashabiki wengi wa Arsenal ndio maana hua unapitia wakati mgumu sana kuelewana na hawa viumbe.
Kwa upeo wako kuendelea kushabikia Arsenal utakua unawakwaza sana hawa mapopoma wanaokutafutia sababu tu ili wakushambulie na kukutukana.
computerarsenal wewe upeo wako ni kua shabiki wa timu yenye watu wanaojielewa kama vile Man United, Liverpool, Man City au hata Chelsea.
Ila kwa hao kwangu pakavu kila siku utakua ni mtu wa kukejeliwa, kubezwa, kudhalilishwa na kutukanwa kisa tu umewazidi upeo wa kufikiri na kuchanganua mambo.
Tofauti yetu sisi siyo taasisi ya utakatishaji fedhaNdio maana mkikutana na wakubwa mnakaziwa mnagongwa kila siku.
Nyinyi na Burnley mna utofauti gani?
Castr hebu relaax kidogo usiwe na hasira ukajikuta unafanya maamuzi mabaya kisa huyo shabiki wa Kremlin FC. Hii pisi tupe sisi Gunners bhana πππWe jamaa acha kula wasaidizi wa ndani mimi nina namba ya mtoto mkali. Kuku wa kienyeji View attachment 2153917
Sasa wewe kinega hiyo taasisi yenu ya uhujumu uchumi imeshinda mechi 17 mpaka leo katika mechi 29 ilizocheza Arsenal tumeshinda mechi 16 katika mechi 28.
Halafu upo hapa kujiongelesha kama umekalia moto
Angalia mashindano aliyoshiliki ndio utaelewaImecheza mechi nyingi ngapi?
Chelsea ndio timu iliyocheza mechi nyingi msimu huu bila kupumzika na hapo ipo nafasi ya tatu ingekuwa ni Arsenal na hicho kikosi chenu sijui mngekuwa nafasi ya ngapi
Wewe ndio mshabiki pekee wa Arsenal ambaye unajitambua na hauna ushabiki upo real wape somo wenzakoTuache kujipa hopes za kijinga Chelsea ni big threat kwetu kama alitufunga 2 tena Emirates why not at Stamford Bridge?kwa sasa hakuna timu nyepesi at all hao Crystal Palace Brighton Aston Villa Newcastle kwa sasa wanaweza wakabeba points muda wowote
Kuna West Ham Tottenham Manchester United pia that's why huwa nasema ikifika May ndio itafahamika kama Arsenal yupo top 4 (tunaombea)au lah but let's wait and see
Babalao limeshinda mechi 17 kati ya 28. PtuuHawezi kutambua hilo. Na hujui kuwa yeye analigi moja tu analowaza. Wakati wenzake wanawaza mechi ya jumanne na juma tano[emoji23][emoji23]. Na bado anapewa off ya kupumzika kisa korona ila wenzake hata kama wanakorona lakini wanaingia uwanjani kupambana.
Chelsea ni babalao wanaumia sana, wanateseka sana
Juma nene. Vizara ni nini hiki? Umeanza utapeli kama wa bosi wako unataka ujifanye na wewe ni mrusi?Unapotoa takwim jaribu kutoa na Gemu alizocheza msimu huu. Ninyi mnaamka jumosi na juma pili mnacheza. Sisi tunacheza juma mosi au Juma pili juma nene na juma tano.
Chelsea anagombania Uefa na ubingwa wa ligi kuu. Arsenal inagombania top 4. Huoni utofauti kati ya Chelsea na Arsenal.
Ninyi ingetakiwa muwe pale top of the ligi kwa kuwa mnawaza ligi tu. Lakini kwakuwa ni vizara mnaomba mbaki hata nafasi ya nne.
Unajua mzee usiandike kama vile peke yako ndiyo una access na taarifa.Angalia mashindano aliyoshiliki ndio utaelewa
Cry harderTofauti yetu sisi siyo taasisi ya utakatishaji fedha
Endelea kuteseka na kukaza hilo fuvu lakoUnajua mzee usiandike kama vile peke yako ndiyo una access na taarifa.
Kwamba mmecheza mechi nyingi bila kupumzika? So mechi hazikua postponed ili mkazunguke kugombea kombe la plastik?