Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Anaongelea pisition anayocheza Gabriel Magalhaés, no. 6 ni left half, ukisoma inverting the pyramid utaona English back four would read, from right-to-left, 2, 5, 6, 3. Naona Kagusia suala la Saliba i hope Mikel Arteta anaziona hizi comment.
Hii ni 4-2-4
Screenshot_20220314-211235.jpg
 
Anaongelea pisition anayocheza Gabriel Magalhaés, no. 6 ni left half, ukisoma inverting the pyramid utaona English back four would read, from right-to-left, 2, 5, 6, 3. Naona Kagusia suala la Saliba i hope Mikel Arteta anaziona hizi comment.
Nasafar ndefu kuelewa hv vitu, kwahyo kamaanisha Gabriel na white wanaweza take the same role? Afu huyo the rock anae mzungumzia acheze na mmoja kat ya white au Gabriel? au aongezwe wacheze back three? maana naona white na Gabriel wanna quality tofaut ambazo zote n muhimu ziwepo kwenye timu.
 
Ni vizuri. Mwanzo ni kweli alionekana kama hawezi. Sasa anaonekana kama anaweza weza. Hata mimi na wengineo huenda tukawa kama Owen. Haimaniishi tunajikana, inamaanisha ametushawishi. Kitu ambacho ni kizuri kutokea.
haikuhitaji kurunzi kujua arteta ni nani, mech ya kwanza tu mimi nilimkubali, kama uliiona arsenal ya emery, then arteta anaipokea mech ya kwanza tu, unaelewa ni kocha wa aina gan, mimi nilimsikiliza wenger, pep guardiola wakimuongelea arteta, sikuwahi kuwa na wasiwasi nae,

na pale city walichukia sana arteta kwenda arsenal, maana alikuwa anaandaliwa kumrith pep, na huo mpango wanao hadi kesho

leo psg wamemuweka ktk list ya makocha wanaowataka

According to L'Equipe, #Arsenal's Mikel Arteta is on a nine-man shortlist drawn up by Paris Saint-Germain to replace Mauricio Pochettino.
 
Chris Wheatley



Arsenal confident Mikel Arteta will extend his contract with the club. Current deal expires in 2023 and Paris Saint-Germain are among the teams monitoring his situation.
🇫🇷
 
Xhaka on his new midfield role:

"I’m enjoying it because I’m on the pitch, that’s the most important thing & after I try to help the team wherever the coach puts me & at the moment it’s working very well"
 
ARSENAL KUPATA EURO MIL 25/26 KWA TOREIRA NA GUENDOZ

Fiorentina are more than happy with Lucas Torreira. Talks on to reach an agreement on permanent deal with Arsenal - there’s €15m buy option clause included in loan deal. #AFC

Arsenal are open to let him go, it’d mean €25/26m from Torreira-Fiorentina and Guendouzi-OM deals.
 
Arsenal manager Arteta on Ødegaard: “He was terrific again in every aspect - what he had to do in defending, in build-up phases, the way he understands & manages the game”.



#AFC Arsenal are super happy of Martin, signed for less than €40m. No buy back clause for Real Madrid.
 
ARSENAL KUPATA EURO MIL 25/26 KWA TOREIRA NA GUENDOZ

Fiorentina are more than happy with Lucas Torreira. Talks on to reach an agreement on permanent deal with Arsenal - there’s €15m buy option clause included in loan deal. #AFC

Arsenal are open to let him go, it’d mean €25/26m from Torreira-Fiorentina and Guendouzi-OM deals.
Torreira arudi ndo ninaye muamn anaweza aka pair vzur na partey kama hatutasajili, wamuuze elneny
 
Torreira arudi ndo ninaye muamn anaweza aka pair vzur na partey kama hatutasajili, wamuuze elneny
Hawez kurudi huyo sio type ya mpira anaoutaka arteta, alishamkataa mapema tu... hata fagia fagia iliyofanyika , amebaki elneny tu, na kwa mbali xhaka, japo mm namuona bado yupo ,hata kama tutasajiri mbadala wake

toreira ni mgumu lkn sio mzuri kwenye pass, ndio kitu kilichomfanya arteta amuondoe, arteta anataka mtu kama partey, ode , yaani wawe na uwezo kwanza wa pass accuracy kubwa, hata mbadala wa xhaka anayekuja lzm atakuwa mzuri kwenye pass,
 
Kila mtu na macho yake, huenda kocha anaona torreira hana kitu anachotaka, kwangu torreira ni mchezaji mzuri namuelewa kuliko elneny na xhaka.
Falsafa ya arteta toka anafika arsenal ni kucheza 4-3-3 kama pep., yenye dabo no.8/10 wawili kama pep, now yupo mwishoni mwishon, ndio maana sasa anamtumia xhaka na ode kama doube no.10/8 ., kwa namna hiyo toreira hawez kufit maana cha kwanza kabisa lazima wawe na uwez mkubwa wa pass

hii ndio silaha namba 1 , ukweli ni kwamba Xhaka, kwenye pass asilimia kubwa yupo njema, toka enz za wenger ,

toreira ni mzuri kuingia uvunguni, yule ni DM asilia kabisa, sasa mpira huu wa kina pep, kiungo wa hivo hawamtaki ndio maana unakuta ana mtu kama rodri, humo ndipo anapopita arteta

kwasasa kaanza kutumia 4-3-3 , wengi ndio wanaona kitu , hapo bado anatafuta kiungo mmoja half 8 half 10, atakayechukua nafasi ya xhaka, mwenye pass accuracy kubwa, mpiga mawe,
hapo mtaomba poo, fluidity ,intensity ,soka safi utaliona hapo,

pale man u wangekuwa na structure nzuri , chini unatafuta kiungo mithili ya partey, juu unaweka bruno na pogba, ole aliwahi kufanya hivo , kiungo wa chini fred , ikagoma,

unatakiwa uwe kwanza na watu wenye uwezo wa pass, na kumiliki mpira usipotee,

hizi factors automatically zinamuondoa toreira kwa arteta...
 
Wapiga bunduki mlio geuka warusha mishale!
Muda wa kukaa kibra kwa Liverpool umefika!
Jumatano nakupiga
 
Ulichosema kimekua.

City kadondosha points mbili.
Enzi zangu za kubet leo ilikuwa ni siku ya kupiga hela... nimetembea saana na upepo wa namna hii, ni mara chache mnoo timu zote kubwa kushinda wikiend moja, halafu game za j3 usiku pia huwa sio nzuri kabisa, kulikuwa pia na game zile za mapema, japo siku hizi naona upepo wake umepoa poa, zamani ilikuwa game ya mapema zile saa 7 mchana hv 8,8 hivi timu kubwa kutoboa mbinde.

Kupoteza point kwa man city ina maana, Liverpool atakuja na nguvu na morali zaidi kupita maelezo, vijana inabidi wajitoe mnoo katika hili, katika fixture yetu game 5 mbele ngumu ya kupoteza ni hii Liverpool, tukiokota point 10-12 humo na viporo vyetu viwili mkononi itakuwa saafi kabisa, game ya man u vs Tottenham nilitamani saana iishe sare kwa usalama wetu zaidi.
 
Kila mtu na macho yake, huenda kocha anaona torreira hana kitu anachotaka, kwangu torreira ni mchezaji mzuri namuelewa kuliko elneny na xhaka.
Makaveli, LT11 hana uwezo wa kucheza holding mid kwenye Modern footie ya Mikel Arteta, Partey imemchukua muda kuimaster hiyo nafasi, Kwa game ya Mikel / Pep/ klopp control ya timu inaanzia kwa a Holding mid, hata Arsenal ikitokea Partey yupo Worse Arsenal nayo inakuwa worse. Kinachotubeba this season apart from risky tulizokuwa tunasema kuhusu partey but he has been the best holding mid in the league this season. Partey alibadilika baada ya kujua project ya Arteta haivumilii ungese.
 
Back
Top Bottom