KWENYE LINEUP WANAONESHA TUNACHEZA 4-2-3-1. , LKN ARTETA AMESHAHAMA ,NOW NI 4-3-3 DIAMOND
Partey anacheza namba 6 peke yake huku Xhaka akicheza namba 8 kushoto na Odegaard namba 8 kulia rahisi kwa Arsenal kusogea juu na mpira na kuishinda press ya mpinzani
Ilikuwa ni dakika ya 34 Arsenal dhidi ya Watford wakati beki wa kulia Cedric alipopiga krosi kutoka pembeni. Mpira ulipoingia karibu na box, mshambuliaji wa mbele zaidi hakuwa Alexandre Lacazette, Gabriel Martinelli, Martin Odegaard wala Bukayo Saka.
Badala yake, mchezaji aliyekimbia kuelekea kwenye eneo la yadi sita alikuwa Granit Xhaka - kiungo mkabaji aliyeibuka tena kama nambari 8. Si jukumu ambalo linamfaa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29, lakini uwepo wake pale unaonekana kuendana na timu ya Mikel Arteta. . Tangu meneja wa Arsenal alipomhamisha Xhaka nakuwa deep no.8 matokeo ya Arsenal yanajieleza yenyewe.
Arteta amebadilisha mfumo wa timu .
Alipoulizwa kuhusu jukumu jipya la Xhaka wakati wa mkutano na waandishi wa habari Ijumaa, Arteta alisema:
'Wakati mwingine inabidi uwatoe wachezaji nje ya eneo lao walilozoea na kufungua milango tofauti ili kuchunguza jinsi timu itakavyoitikia na nini wapinzani watafanya wakati wewe. unafanya mambo fulani.
View attachment 2149534
alishawai sema timu yetu (under arteta) haina uelekeao, haijui inataka nn! leo ana sifiaNi vizuri. Mwanzo ni kweli alionekana kama hawezi. Sasa anaonekana kama anaweza weza. Hata mimi na wengineo huenda tukawa kama Owen. Haimaniishi tunajikana, inamaanisha ametushawishi. Kitu ambacho ni kizuri kutokea.Owen mtaalamu wa kujikanaalishawai sema timu yetu (under arteta) haina uelekeao, haijui inataka nn! leo ana sifiaView attachment 2149778
Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
Priva cyo mchambuzi ata ukisikia vitu anavyoongeayupo huyu kenge ,priva na mwingine namficha wanafanya uchambuz wa mpira uonekane kama chaka la watu wasio na ajira
View attachment 2149389
kazoea kutuonea mjinga uyo safari hii atumuachi salamaLiverpool atapigwa kama walivyopigwa wenzake
Fimbo bado zinaendelea upende au usipende
Nitajie mmoja mkuu nimuangalie clip zakeNi mzuri ila sio BORA kwa muda wote, kaka kuna watu wameupiga mwingi bado hajawafikia kwa nafasi hiyo.

sorry, Maguire still hasn’t worked out he’s a number 5 yet, he believes he’s a leader
) Hi comment nimeitoa sehemu kamakuna mtu ameiliewa tafadhar naomba anieleweshe, sijampata jamaa anaongelea bek wa haina gan tumekosamy biggest concern honestly is our defence. I know that sounds odd, but hear me out.
It’s my opinion that all successful defences have 3 types of defenders. Firstly, the full backs. They must be able to defend to a reasonable standard, be almost obsessed with stopping crosses and be able to affect attacks on the flanks. Secondly is the number 5 central defender. The number 5 is the ball playing centre half that can play, is generally the quicker of the central players and likes to bring the play forward from the back. And finally the rock, the player who lives and breathes to stop he opponents at all costs. Often being the captain or leader of the defensive unit. This player puts every ounce of energy into organising players around him and destroying the top notch forwards.
Now we have a collection of very good to decent full backs/wing backs and we have a group of passable to excellent number 5’s….. but at present, I don’t see one number 6.
City in both Laporte and Diaz have number 6’s and Liverpool has van djyk and Man Utd have Maguire (sorry, Maguire still hasn’t worked out he’s a number 5 yet, he believes he’s a leader
)
And I can’t remember a major team without that set up.
Now I know the game is evolving, and I know everyone needs to be able to play more like a 5 but we still need a rock. I’m hoping saliba can be that player but I see him as a 5. White and Gabrielle are excellent 5’s. I just worry that it’s a “when the shit hits the fan” moment comes along, we don’t have as yet that player who holds it all together. Maybe ramsdale is able to do it…. But you expect the gk to talk to the number 6 and control things as a unit, in conjunction with the number 4 or holding midfielder (partey). It’s the spine of the team.
Just my opinion
Anaongelea pisition anayocheza Gabriel Magalhaés, no. 6 ni left half, ukisoma inverting the pyramid utaona English back four would read, from right-to-left, 2, 5, 6, 3. Naona Kagusia suala la Saliba i hope Mikel Arteta anaziona hizi comment.my biggest concern honestly is our defence. I know that sounds odd, but hear me out.