Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hahaha ndio maana nikaanza kwa kusema mawazo hasi. Ni mbinu tu ya kivita. Siyo timu kubwa wala nini ni kutumia tu resources vizuri. Next 5 games ni 15 potential points. Tunahitaji 12 kukaa nafasi nzuri. Tumeshatoka kucheza j2. Ili tusichoshe na kurisk majeraha kwa mastaa, tuwapumzishe. Watakaocheza wanaweza kudroo au kushinda. Ila baada ya hapo tunarudisha mastaa wakiwa fit kwa game 4 hizo na tunaua kila akatizae bila huruma. Ni mbinu tu boss

Mwandikie email arteta ...

Mpaka hapa unaonesha huna imani kabisa kama arsenal ataweza kupata hata point 1 mbele ya Liverpool ....

Bora ungesema kujilinda zaidi maana mkifunguka tu Liverpool atawafanya kitu mbaya...mikimbio ya kina mane ,Salah ,Diaz aloooooh mtakuwa mnashituka mpira upo nyavuni .....
 
hahaha ndio maana nikaanza kwa kusema mawazo hasi. Ni mbinu tu ya kivita. Siyo timu kubwa wala nini ni kutumia tu resources vizuri. Next 5 games ni 15 potential points. Tunahitaji 12 kukaa nafasi nzuri. Tumeshatoka kucheza j2. Ili tusichoshe na kurisk majeraha kwa mastaa, tuwapumzishe. Watakaocheza wanaweza kudroo au kushinda. Ila baada ya hapo tunarudisha mastaa wakiwa fit kwa game 4 hizo na tunaua kila akatizae bila huruma. Ni mbinu tu boss

Bora hata ungesema kupaki bus ...

Kwan mkifunguka lazima mtaogelea goli za kutosha ..ile mikimbio ya mane ,Salah na Diaz alooooooooh mtakuwa mnajikuta mpira upo nyavuni.....
 
Daaa wewe jamaa ni muoga kinyama 😅😅😅yaani unaona upumzishe kabisa wachezaji mhimu et kisa upo na opponent mkali kwamba wewe utakuwa inashinda team ndogo ndogo hizi team kubwa unazipanulia kuchukua point 3 aisee😅😅😅😅😅😅😅😅
Nani hayaogopi majogoo?
 
Huku kwa Cedric Soares angekuwa Mnyama Takehiro Tomiyasu yule Luis Diaz asingewin aerial duel hata moja, ila akiwa Cedric kazi inakuwa nyepesi kwa Diaz.
 
Arteta on Brendan Rodgers describing Ramsdale as the 'best English keeper at the moment':

"Thanks to Brendan for thinking that way. Aaron has to take those words to give him confidence. I've always said he's been exceptional since the day we signed him."
 
Xhaka & Partey

Itakuwa mara yao ya kwanza kucheza pamoja dhidi ya liverpool. Hali kama hiyo ilitokea dhidi ya City na sote tuliona jinsi Arsenal walivyofanya vyema
1647295015563.png
 
How is the players' confidence and do they need a similar performance to the Manchester City game?

You need that type of performance and then you need a result. The reason why we didn't get that result against City was because we didn't dominate every single aspect of the game. The moment that you open the door, you know you will be punished. Tomorrow we are going to have to play at least at that level, or better and control every single scenario.
 
Wenzangu walisema wanasubiri game ya Leicester ili waioengelee game dhidi ya Liva. Hali siyo nzuri, ilikua hovyo sana katika kudefend game yetu na Leicester.

Wachezaji wetu hawakufanya interception ya pasi wala pressure kwa mtu mwenye mpira haikua kubwa.

Upande wa Martinelli, Xhaka na Tiernery kuanzia game ya Wolves na hii hauna uhai wa kufurahisha. Ni kutiana aibu
 
ORCHESTRATOR (PARTEY)AND ARTIST(ODEGAARD)

✍🏿
Nikisema orchestrator na maanisha kiungo wa ulinzi au mkabaji anae baki chini au kurudi chini kupokea mpira toka kwa beki na kupeleka mbele

✍🏿
tunasema "orchestrator are those midfielder who sit deep and support build up" kwa arsenal kwa sasa kwa namna tunacheza tukiwa na mpira orchestrator ni thomas partey akionekana kucheza kama lonely number 6 au tuseme single pivot

✍🏿
hii kitu imesaidia kumrudisha partey yule wa atletico anamiliki dimba sababu ana option (machaguo)mengi pa kupiga pass

✍🏿
sababu tukiwa buld up tunakuwa na namba 8 wawili xhaka na ode ambao ucheza tokea pembeni ( widening) mmoja kulia mmoja kushoto

✍🏿
hvyo basi kila upande tunatengeza triangle kulia kuna saka cedric na odegaard na kushoto kuna tieney martinell na xhaka

✍🏿
katikati yupo laca anayerudi chini pia kufata mipira hvyo partey akipokea mpira kutoka chini ana option 3 za kupiga mpira

✍🏿
ndio maana tunaona buld up nzuri tokea chini sababu role hii partey (orchestrator)kuanzisha mashambulizi tokea chini uzuri ni mpiga pass mzuri

✍🏿
An Artist hapa sasa namzungumzia mchezaji ambae anauwezo mkubwa akiwa na mpira mguuni vision, passing ability , chance creation

✍🏿
ni wachezaji wenye kutumia mental zaidi na hawa ndio wanatumika kufungua pattern za kiulinzi za wapinzani kwa aina ya pass zao

✍🏿
arsenal yupo Odergaard ebu angalia uchezaji wake akipokea mpira jinsi anavyo hold mpira accuracy ya pass anazopiga ata zikiwa zile diagonal kuamisha uwanja

✍🏿
anafanya flowing ya mpira na mashambulizi kuwa fluidty nikisema fluidy ni kimiminika mfano mwaga maji jinsi yanavyo flow sasa kazi ya ode kwenye kutengeneza mashambulizi kwa lugha zao wazungu inasema fluidy "ability substance to flow easily" ndio anafanya ode mashambulizi kuflow easily
😁

✍🏿
partey na ode wanafanya tuone mpira rahisi kitu ambacho sio kweli sema ubora wao kutimiza majukumu kwenye roles walizopewa inatufanya tuone simple sana

1647297347670.png
 
Huku kwa Cedric Soares angekuwa Mnyama Takehiro Tomiyasu yule Luis Diaz asingewin aerial duel hata moja, ila akiwa Cedric kazi inakuwa nyepesi kwa Diaz.
"Tomi is the only one that's still there in contention [to miss the game]" the boss stated.

"We have been trying to push him, but with the handbrake a little bit because we need to be careful as we don’t want to get another injury with him. We don’t know [if tomorrow is too soon]. Let’s see how he trains today.”
 
Bora hata ungesema kupaki bus ...

Kwan mkifunguka lazima mtaogelea goli za kutosha ..ile mikimbio ya mane ,Salah na Diaz alooooooooh mtakuwa mnajikuta mpira upo nyavuni.....
Kupaki basi hata madogo wanaweza. Hao jamaa tumekutana nao carabao juzi juzi tu hawana mpira wa kututisha. Ni kutumia nguvu vizuri tu. Tunaweza kutumia nguvu nyingi kuwafunga afu tukachoka sana kuwapiga wepesi wanaofuata. Ni kama kupiga show ya kibabe nyumba ndogo jioni afu usiku unafika home unapiga show mbovu kwa nyumba kubwa
 
watu wanaogopa bure tu, ila kiminu kesho tunaenda kubattle vzr tu , ukiacha mech ya kwanza ambayo kukosa experience kwa watoto kama sami na nuno, kesho pale kati kuna mtu mbili, amini nakuamia kesho ni kwenda mbele tu, hiyo ndiyo principle yetu tukiwa home siku hizi haijarishi tunacheza na nani, rejea mechi hizi city, wolves,
 
DID YOU KNOW:

Granit Xhaka have play 5 matches for Arsenal and has not received a yellow card 🟨.?

Arsenal vs Burnley ✅
Arsenal vs Brentford ✅
Arsenal vs Watford ✅
Arsenal vs Wolverhampton second leg ✅
Arsenal vs Leicester city ✅

Granit Xhaka has improved.
He deserves an accolades 👏👏😂😂
 
Hii umeandika kishabiki zaidi mkuu, wape heshima Liverpool, Liverpool are transition monsters in Mane, Salah & Diaz. Ukisema ni kwenda mbele tu game wataimaliza mapema asubuhi. Arsenal tuna tendency ya kusit deep tunapocheza na timu zenye top technicians ipo wazi, Game vs Leceister we had 46% of the ball, how about Liverpool? Remember Liverpool never sit deep. Of course, tutakuwa na some good moments of the game kwa kusustain attacks sababu quality tunayo, lakini bado Liverpool ni bora kuliko sisi, game itakuwa ngumu, game of the ages, napendaga sana mechi kama hizi.
 
DID YOU KNOW:

Granit Xhaka have play 5 matches for Arsenal and has not received a yellow card 🟨.?

Arsenal vs Burnley ✅
Arsenal vs Brentford ✅
Arsenal vs Watford ✅
Arsenal vs Wolverhampton second leg ✅
Arsenal vs Leicester city ✅

Granit Xhaka has improved.
He deserves an accolades 👏👏😂😂
kwake tunaona maajabu na kwa banter si mbaya kutania hivi. Ila jamaa ana rep mbaya mpaka saa zingine unaona kabisa refa anampa kadi kisa tu ni xhaka. Maadui wanajua hivyo wanamprovoke na kudive akiwagusa. Pia xhaka anafanyaga professional foul za makusudi mara kibao ambazo zimetusaidia sana
 
Back
Top Bottom