Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Falsafa ya arteta toka anafika arsenal ni kucheza 4-3-3 kama pep., yenye dabo no.8/10 wawili kama pep, now yupo mwishoni mwishon, ndio maana sasa anamtumia xhaka na ode kama doube no.10/8 ., kwa namna hiyo toreira hawez kufit maana cha kwanza kabisa lazima wawe na uwez mkubwa wa pass

hii ndio silaha namba 1 , ukweli ni kwamba Xhaka, kwenye pass asilimia kubwa yupo njema, toka enz za wenger ,

toreira ni mzuri kuingia uvunguni, yule ni DM asilia kabisa, sasa mpira huu wa kina pep, kiungo wa hivo hawamtaki ndio maana unakuta ana mtu kama rodri, humo ndipo anapopita arteta

kwasasa kaanza kutumia 4-3-3 , wengi ndio wanaona kitu , hapo bado anatafuta kiungo mmoja half 8 half 10, atakayechukua nafasi ya xhaka, mwenye pass accuracy kubwa, mpiga mawe,
hapo mtaomba poo, fluidity ,intensity ,soka safi utaliona hapo,

pale man u wangekuwa na structure nzuri , chini unatafuta kiungo mithili ya partey, juu unaweka bruno na pogba, ole aliwahi kufanya hivo , kiungo wa chini fred , ikagoma,

unatakiwa uwe kwanza na watu wenye uwezo wa pass, na kumiliki mpira usipotee,

hizi factors automatically zinamuondoa toreira kwa arteta...
Ila tactic ua znabadilika, kuna match itabd ubadilishe mbinu ucheze ata na DM wawili, hapa ndo torreira angefaa zaidi kuongeza ugumu kwenye midfield.

Kuna aina za game battle inakua kwenye midfield ukishindwa hapa umeliwa, na wakabaj wazur tulionao n partey na torreira wengine wanajarbu, so naona Kama bado ana chance ata kama atakua bench warmer.
 
Wapiga bunduki mlio geuka warusha mishale!
Muda wa kukaa kibra kwa Liverpool umefika!
Jumatano nakupiga
Naona mnajiamn sana, ila hii game n ngumu, hamjachezaga na ss kwa mda mrefu tukiwa na kiwango hiki tulicho nacho sasa, refa asipoingilia kati mnaweza msitoboe
 
Enzi zangu za kubet leo ilikuwa ni siku ya kupiga hela... nimetembea saana na upepo wa namna hii, ni mara chache mnoo timu zote kubwa kushinda wikiend moja, halafu game za j3 usiku pia huwa sio nzuri kabisa, kulikuwa pia na game zile za mapema, japo siku hizi naona upepo wake umepoa poa, zamani ilikuwa game ya mapema zile saa 7 mchana hv 8,8 hivi timu kubwa kutoboa mbinde.

Kupoteza point kwa man city ina maana, Liverpool atakuja na nguvu na morali zaidi kupita maelezo, vijana inabidi wajitoe mnoo katika hili, katika fixture yetu game 5 mbele ngumu ya kupoteza ni hii Liverpool, tukiokota point 10-12 humo na viporo vyetu viwili mkononi itakuwa saafi kabisa, game ya man u vs Tottenham nilitamani saana iishe sare kwa usalama wetu zaidi.
yaaaah liverpool atakuja kwa moto mkubwa sana inabdi tupambne sana
 
Ad sahv Arsenal tuna potential ya kuwa na goalkeeper bora kwenye ligi ( ramsdale) kiungo mkabaj Bora( partey), winger Bora (Saka) na kiungo maestro ( Odegard).

Soon tu tunakaribia nchi ya ahad
FB_IMG_16473239637914782.jpg
 
Luis Díaz vs Cédrick Soares... Mwamba Tomiyasu nimemmiss sana ndio game zake hizi, for the first time tunacheza tukiwa na Xhaka & Partey kwenye Mid dhidi ya Liverpool msimu huu, je kuna kitu kitabadilika? Tusubiri tuone.
 
Nothing.

Watanufaika na kasi ndogo ya Xhaka. Na sifa yake mbaya mbele ya marefa, pia kuchelewa kwake kutoa pasi kutawapa muda viungo wa liva kumfikia kabla hajafanya maamuzi.
 
Wazo hasi. Tunaweza kutumia mbinu ya morinyo alipokuwa madrid ya kuachanana na barca na kudeal ma wengineo akala ubingwa. Ilikuwa akicheza na barca anapigwa na hajipi stress ila hao wengine anaua. Katika mechi 5 zijazo ngumu ni hawa kuku tu. Hapa tuwapange kina lokonga na elneny tuwapumzishe kina partey na mastaa wengine. Vijana wapambane. Labda tutafungwa ila hao watakaofuata baada ya kuku cha moto watakiona. Top 4 secured
 
Nothing.

Watanufaika na kasi ndogo ya Xhaka. Na sifa yake mbaya mbele ya marefa, pia kuchelewa kwake kutoa pasi kutawapa muda viungo wa liva kumfikia kabla hajafanya maamuzi.
Xhaka kuwa hivyo itategemea kama game itakuwa ya upande mmoja ila silioni hili likitokea.
 
Wazo hasi. Tunaweza kutumia mbinu ya morinyo alipokuwa madrid ya kuachanana na barca na kudeal ma wengineo akala ubingwa. Ilikuwa akicheza na barca anapigwa na hajipi stress ila hao wengine anaua. Katika mechi 5 zijazo ngumu ni hawa kuku tu. Hapa tuwapange kina lokonga na elneny tuwapumzishe kina partey na mastaa wengine. Vijana wapambane. Labda tutafungwa ila hao watakaofuata baada ya kuku cha moto watakiona. Top 4 secured
Big no mkuu, point yoyote ni muhimu kwa sasa, Arteta anajua sana, hizi game za home atakuja na Tactical masterclass utashangaa mpinzani anavyohemea mirija,

Ila kimpira tukiongelea fundamentals Liverpool kudefend mashambulizi yetu ni rahisi mno coz hatuna CF anayexcel physically & technically kuapproach box la mpinzani, so kama wanapress high ili kubypass the fist line of pressure, Arsenal tutahitaji kucheza long kicks kwenye Flanks kwa Saka & Martinelli maana katikati hatuwezi Kuwin duels sababu ya CF tuliyenae. Liverpool watasqueeze play kwenye flanks then inakuwa easy game kwao, we cant keep the ball against them, ila nachoamini Mikel Arteta ataenda kutushangaza tena kama mechi ya Man city.
 
Hawez kurudi huyo sio type ya mpira anaoutaka arteta, alishamkataa mapema tu... hata fagia fagia iliyofanyika , amebaki elneny tu, na kwa mbali xhaka, japo mm namuona bado yupo ,hata kama tutasajiri mbadala wake

toreira ni mgumu lkn sio mzuri kwenye pass, ndio kitu kilichomfanya arteta amuondoe, arteta anataka mtu kama partey, ode , yaani wawe na uwezo kwanza wa pass accuracy kubwa, hata mbadala wa xhaka anayekuja lzm atakuwa mzuri kwenye pass,
Wamlete Ruben neves wa wolves yule.....ana speed...na accuracy kubwa ya pasi kuliko xhakaboom...
 
Wazo hasi. Tunaweza kutumia mbinu ya morinyo alipokuwa madrid ya kuachanana na barca na kudeal ma wengineo akala ubingwa. Ilikuwa akicheza na barca anapigwa na hajipi stress ila hao wengine anaua. Katika mechi 5 zijazo ngumu ni hawa kuku tu. Hapa tuwapange kina lokonga na elneny tuwapumzishe kina partey na mastaa wengine. Vijana wapambane. Labda tutafungwa ila hao watakaofuata baada ya kuku cha moto watakiona. Top 4 secured

Daaa wewe jamaa ni muoga kinyama 😅😅😅yaani unaona upumzishe kabisa wachezaji mhimu et kisa upo na opponent mkali kwamba wewe utakuwa inashinda team ndogo ndogo hizi team kubwa unazipanulia kuchukua point 3 aisee😅😅😅😅😅😅😅😅
 
hahaha ndio maana nikaanza kwa kusema mawazo hasi. Ni mbinu tu ya kivita. Siyo timu kubwa wala nini ni kutumia tu resources vizuri. Next 5 games ni 15 potential points. Tunahitaji 12 kukaa nafasi nzuri. Tumeshatoka kucheza j2. Ili tusichoshe na kurisk majeraha kwa mastaa, tuwapumzishe. Watakaocheza wanaweza kudroo au kushinda. Ila baada ya hapo tunarudisha mastaa wakiwa fit kwa game 4 hizo na tunaua kila akatizae bila huruma. Ni mbinu tu boss
 
Nothing.

Watanufaika na kasi ndogo ya Xhaka. Na sifa yake mbaya mbele ya marefa, pia kuchelewa kwake kutoa pasi kutawapa muda viungo wa liva kumfikia kabla hajafanya maamuzi.
naanza kuamini hauna mapenz kbsa na xshaka hana zuri kwako
 
Back
Top Bottom