Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
yupo huyu kenge ,priva na mwingine namficha wanafanya uchambuz wa mpira uonekane kama chaka la watu wasio na ajira
Ukitaka uongee kitu relevant jitahidi kumuangalia mchezaji kwenye mechi angalau tano bila hata kuangalia stats.yupo huyu kenge ,priva na mwingine namficha wanafanya uchambuz wa mpira uonekane kama chaka la watu wasio na ajira
View attachment 2149389
Ndiyo timu pekee haijaconcede goli la kona nafikiri si ndiyo?Damn!! What a stat
View attachment 2149391
yesNdiyo timu pekee haijaconcede goli la kona nafikiri si ndiyo?
Si tushakubaliana, hao ni wachambuzi wa MCHELE.yupo huyu kenge ,priva na mwingine namficha wanafanya uchambuz wa mpira uonekane kama chaka la watu wasio na ajira
View attachment 2149389
Na ndio timu yenye magor mengi ya kufunga ya set piecesNdiyo timu pekee haijaconcede goli la kona nafikiri si ndiyo?
Ukitaka uongee kitu relevant jitahidi kumuangalia mchezaji kwenye mechi angalau tano bila hata kuangalia stats.
Stats zinaweza kua kinyume na utakachoona uwanjani mfano mimi nimeona Partey kapiga kazi ya maana na anastahili tuzo ya man of the match ila wenye takwimu wamempa Odegaard. So kwa kufuata takwimu unaweza mrule out partey but he performed better.
Hii ilikuwa post ya 2021, kipindi bado Arsenal inajijenga so alikuwa hajui alitendalo.yupo huyu kenge ,priva na mwingine namficha wanafanya uchambuz wa mpira uonekane kama chaka la watu wasio na ajira
View attachment 2149389
hiyo ni kaz y mtu mmoja anaitwa joverNa ndio timu yenye magor mengi ya kufunga ya set pieces