Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gooners muangalieni TAA mpira anavyoufanya kama kazaliwa nao, this nigga is the best right back of all time.
 
Na James itamuacha wapi? Shida ya huyo sio mzuri defensive kwa maana hiyo hawezi kuwa best right back of all time
upo sahihi huyo nje ya mfumo wa liverpool ni wakawida tu, sawa na salah, ndio maana national team bado wanasita kumuamini kam rb huyo TAA,
 
upo sahihi huyo nje ya mfumo wa liverpool ni wakawida tu, sawa na salah, ndio maana national team bado wanasita kumuamini kam rb huyo TAA,
Upo sahihi huyo mchezaji akienda Man u tu ambayo team yake inaruhusu mashambulizi mengi ya opponents atakuwa uchochoro Sana na ndio upande wake utatumika Sana mpinzani kupenyeza ajenda
 
Na James utamuacha wapi? Shida ya huyo sio mzuri defensive kwa maana hiyo hawezi kuwa best right back of all time
Alexander Arnold ni chief creator, kazi yake ni delivery, we unaleta habari zako za kudefend hizo peleka Atletico Madrid.
 
Upo sahihi huyo mchezaji akienda Man u tu ambayo team yake inaruhusu mashambulizi mengi ya opponents atakuwa uchochoro Sana na ndio upande wake utatumika Sana mpinzani kupenyeza ajenda
Na kwanini aende Man U aache Liverpool? Uwezo wake ni kucheza kwenye elite system sio huko vichochoroni.
 
Arsenal training today
1647040787257.png

1647040808170.png

1647040825603.png

1647040840547.png
 
According to
@sr_collings
&
@JackRosser_
.. Arsenal wants to sign two strikers and a midfielder this summer as part of its plans to support Arteta in the next stage. The club is also exploring the possibility of signing a winger and right-back
 
It was confirmed that Jamie Vardy was absent for more than 3-4 weeks due to injury, and therefore he will miss his team's match against Arsenal.
 
Arsenal wametoa ofa kwa Fenerbahce Arda Guler, 17, kulingana na kocha wa zamani wa mchezaji huyo.

Erol Tokgözler alimfundisha Guler wakati wa ujana wake, alipokuwa akiichezea Gençlerbirliği.

Kinda huyo amejiunga na Fenerbahce na kucheza kwa mara ya kwanza katika kikosi cha kwanza, na Tokgözler anaamini kuwa haitachukua muda mrefu hadi aondoke Uturuki.

"Sidhani kama Arda atakaa Uturuki kwa muda mrefu," Tokgözler alisema. “Najua kuna ofa kutoka Arsenal na Bayern Munich.

“Kwa kila mechi inayopita, idadi ya timu zitaongezeka. €20-30m kwa Arda itabaki kuwa ya kawaida sana.

Guler alifikisha umri wa miaka 17 mwezi uliopita, lakini tayari amecheza mechi tisa kwenye kikosi cha kwanza cha Fenerbahce, akitoa pasi tatu za mabao. Ikizingatiwa kuwa amekuwa akitokea benchi mara nyingi hadi sasa, huo ni uwiano wa pasi za mabao kila dakika 78.

Ana uwezo wa kucheza katika nafasi ya kiungo mshambulizi au kwenye winga, Guler amekuwa hodari akiwa na Fenerbahce u19s, na ilikuwa ni lazima angepiga hatua hadi kwenye kikosi cha kwanza mapema.


Arsenal daima wanatafuta vipaji vya vijana wenye nguvu, na Guler bila shaka atakuwa na mtu wa kumuuliza kuhusu kuishi London, kutokana na kuwa yupo na Mesut Özil.
1647042734051.png
 
"We need to minimise the risk."

Mikel Arteta says Arsenal will not rush Takehiro Tomiyasu back into action amid fears he could be plagued by a recurring calf injury.

@sr_collings
1647043054345.png


“He needs to be consistently training for a period [so] that we can minimise the risk of having another recurring injury in the same muscle because it would be something to worry about & we have to stay away from that.” #afc



1647043182233.png
 
Gooners muangalieni TAA mpira anavyoufanya kama kazaliwa nao, this nigga is the best right back of all time.
Ni mzuri ila sio BORA kwa muda wote, kaka kuna watu wameupiga mwingi bado hajawafikia kwa nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom