Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Partey dropping another man of the match performance.

Odegaard hizo dummy skills na vision imekua kawaida na hautajua muda gani anakutrick.

Tumecheza hovyo kama timu. Hatuulizi maswali defense ya mpinzani, tukitaka kuuliza tunaonyesha kabisa kua tunataka kuuliza maswali.

Inasababisha tuwe slow badala ya kua fast.

Inasababisha mpinzani akipata mpira asione shida kutukimbilia.
 
If you don’t like Martin Ødegaard.
You don’t like football.
FB_IMG_1647196472749.jpg
 
Well done gunners. Sijui kama strategy ilikuwa kushinda bila kutumia nguvu nyingi ama uchovu. Good for the team ila kuna kipindi nilisinzia mid game. Tusonge mbele hivyo hivyo tu mpaka kieleweke
 
Martin Odegaard humuoni sana kwenye magoli na assists but ndio key player wa hili soka safi tunalopiga Arsenal hivi sasa... Simply he is one of the best Playmaker kwenye Premier League!
 
Kama ukraine wangekuwa sio jeuri, tungewapa ramsdale akawasaidie kuzuia mabomu ya mrusi.

Kipa hatari huyu, mazoezini anadaka punje za mchele.
Hahaha. Huwa sipendi utani kwenye vita ila nimecheka hapa
 
Timu yetu kwa sasa ime-improve sana na soka linalopigwa mpaka raha kuangalia. Yaan timu inapiga one touch huku ikiwa kwenye speed kali kulifuata lango la mpinzani.

Imefikia mahala ambapo wakikwambia uchague man of the match lzm upate kigugumiz maana Saka, partey, odegard ni wa moto kweli kweli
 
Back
Top Bottom