Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Acha uchuro!.. Hii game tunashinda! Hawa Leiciter tunawamudu kabisa
Sio uchuro chief, hapo nyuma hii ilikuwa ni kawaida saana, sijui siku hizi sababu mambo yalinitinga sikifatilia mpira kabisa hapa kati, enzi nina beti basi hiki kitu kilikuwa kinanipa hela, uchuro mwingine ulikuwa ni simba na man u, wakicheza siku moja, basi mmoja lazima afe mwingine ashinde, ni mara moja tu huu mtiririko uligoma, siku hiyo man u kafa na simba akafa kwa yanga..

Sasa nataka kuicheki ya arsenal na simba.
 
Daah! Sema game ngumu, Xhaka Bado n tatizo, martinel naye naona Kama hajachangamka sana,

SR akiingia mapema, uenda hii game ikaisha mapema

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
What an entertaining game to watch... we are seeing football from the good old days of Arsenal.. Well done Arteta for proving a lot of us wrong.
 
Back
Top Bottom