Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Si
Juzi hapa ilitokea Argument kwamba nilisema Arteta > Conte, nikaambiwa angalia CV. Sasa CV kwenye football!

Watu walitakiwa wajifunze kwa Pep wakati anaanza, hakuwa anamzidi CV Arsene Wenger / sir Alex but he destroyed them.

Mfano Xavi kwa idea yake tu unaona akipata a balanced squad anawin La liga next season, japo Ancellotti ana CV & Experienced kumzidi.

Unajua makocha wa kisasa advantage waliyonayo kwenye game wao wanapay attention kwenye kitu tunaita "phases of play" from build up to final third na wanajua quality & profile ya kuExcute idea zao, Viera, potter, Arteta, Xavi, Ten haag, Nigelsmann never write them off utaumia.

Newcastle Eddie howe kapata balance kidogo tu he won three games in a row, Football inachange, Japo Conte ni master na ukweli Conte anakosa the right profiles ila i rate Arteta high kuliko .
Kumbuki nilimwambia nani kitu kama hiki.
 
Zaha ni kina saint maximin, mie nawaita kazi bure.
Kumfananisha Maximin na Zaha ni matusi mkuu, Maximin is 23, he only needs good tactical knowledge from a top tactician, ngoja tuone atavyoexcel under Eddie howe paka sasa ndio engine ya timu, kuna siku mtasikia dogo anaenda Liverpool labda mtampa heshima anayostahili.
 
Shida ya maximin ni pale mwisho, anaweza akafanya kazi kuubwa mwishowe akaharibu kabisa, hayo ni mabadiliko ya mbeleni, mimi namzungumzia wa sasa, kuna wachezaji kibao toka timu moja walikuwa wa hovyo kwingine wakaenda kukiwasha.
 
Watu wa mpira naona tuna tabia ya kuchukia mchezaji mwenye manjonjo mengi, kwa Allan saint Maximin sishangai sababu yupo jamaa yangu flani ananiambiaga Neymar ni mchezaji wa kawaida, na miaka yote anasimamia hapo.

Maximin ni winger wazee, ukitaka winger asihold mpira, jiulize amekua kiungo huyo? Kazi ya kumove the ball fast maeneneo tifauti ni kazi ya mids mfano Xhaka/ Verratti/ Rodri.

Mfano kiungo kama Renato Sanches ana tendency ya kuhold sana mpira / kufanya dribbling / take ons utadhani ni winger, wakati key role kwake ilitakiwa kumove mpira haraka kwenye key areas, ndio unaona timu kubwa kama Bayern zinamshinda, sababu sio type ya mchezaji wanayemuhitaji ila kwa timu kama Lille anaexcel sababu timu inarely kwake for progression.

Winger anaweza kukaa na mpira paka defensive pattern ya mpinzani itapokuwa unlocked, Leo nacheki mechi na jamaa anasema Saka anakaa sana na mpira anaifelisha timu, hapo ndio nikajua kumbe uelewa wa mpira tunatofautiana.

Allan saint Maximin ni mchezaji wazee japo nakubali kutofautiana.
 
Swali: Kwanini alivyotoka Lacazette na kuingia Nketiah, Nketiah alipewa captain armband ili ampe xhaka, lakini xhaka aliikataa na badala akapewa TK?
 
Shida ya maximin ni pale mwisho, anaweza akafanya kazi kuubwa mwishowe akaharibu kabisa, hayo ni mabadiliko ya mbeleni, mimi namzungumzia wa sasa, kuna wachezaji kibao toka timu moja walikuwa wa hovyo kwingine wakaenda kukiwasha.
Saka mwenyewe hajamaster final third decision making but wote ni Young kings hawa. Angalia creativity vingine vinakuja na age.

In my opinion Maximin under Steve Bruce hawezi kuwa the same under Klopp/ Arteta.
 
Emile Smith Rowe: "If Arsenal want me for the rest of my career, Then I am going to stay here Forever"😭😭❤

1645234577019.png
 
Watu wa mpira naona tuna tabia ya kuchukia mchezaji mwenye manjonjo mengi, kwa Allan saint Maximin sishangai sababu yupo jamaa yangu flani ananiambiaga Neymar ni mchezaji wa kawaida, na miaka yote anasimamia hapo.

Maximin ni winger wazee, ukitaka winger asihold mpira, jiulize amekua kiungo huyo? Kazi ya kumove the ball fast maeneneo tifauti ni kazi ya mids mfano Xhaka/ Verratti/ Rodri.

Mfano kiungo kama Renato Sanches ana tendency ya kuhold sana mpira / kufanya dribbling / take ons utadhani ni winger, wakati key role kwake ilitakiwa kumove mpira haraka kwenye key areas, ndio unaona timu kubwa kama Bayern zinamshinda, sababu sio type ya mchezaji wanayemuhitaji ila kwa timu kama Lille anaexcel sababu timu inarely kwake for progression.

Winger anaweza kukaa na mpira paka defensive pattern ya mpinzani itapokuwa unlocked, Leo nacheki mechi na jamaa anasema Saka anakaa sana na mpira anaifelisha timu, hapo ndio nikajua kumbe uelewa wa mpira tunatofautiana.

Allan saint Maximin ni mchezaji wazee japo nakubali kutofautiana.
Messi ana manjonjo na ni winger sawa sawa na Mane, Salah, Sterling na Mahrez.

Hao wote wanahold mipira lakini timu ikiwa kwenye move kutafuta goli hua hawaizuii timu kwenda mbele kwa kutaka kuonyesha manjonjo badala yake atatafuta pa kuupenyeza mpira. Ili move iendelee.

Mfano Maximin akiwa nje ya 18 angalia mwisho wa manjonjo yake ni nini? Kama siyo kupokonywa mpira basi ni kupiga back pass na potential threat inakua contained.

Lakini Foden, Saka, Salah, Mane, Messi wakiwa nje ya 18 wakifanya manjonjo unatarajia itoke assisst au ashuti. Akinyang'anywa unajua kabisa huyu hii siyo kawaida yake, tofauti na Maximin akipokonywa mpira unasema tu 'Ah ndiyo alivyo huyo' Hapo ndipo naona Maximin hapana, ana skills lakini hazitumii kuinufaisha timu.
 
Back
Top Bottom