Hawa Brighton watafumuliwa mpaka kocha ajue alipokosea wapi
Mbona hawa Brentford wanashika shika tu mipira refa hatoi penalty!
Brighton anacheza na nani??Hawa Brighton watafumuliwa mpaka kocha ajue alipokosea wapi
Nakupinga sanaaaaaaa.Sioni sababu ya kucheza na Lacazette pale mbele toa nje ingiza pepe halafu smith acheze false namba nine
naona tumekosa ubunifu mbele. cross zote za nini kama hakuna mtu wa kumalizia? hawa dawa yao ni tiki taka na quick movements ila wachezaji wako casual mno
Tuna uhitaji mkubwa wa natural and clinical no. 9 pale mbele kuliko sehemu nyengine yoyote.Sioni sababu ya kucheza na Lacazette pale mbele toa nje ingiza pepe halafu smith acheze false namba nine
Sioni sababu ya kucheza na Lacazette pale mbele toa nje ingiza pepe halafu smith acheze false namba nine
Kutaka kubadili formation kumemponzaOgopa team iliyopo kwenye relagation zone
Siku anamkaba mtu anagewa red ulimchukuliaje?Sijajua ni kwanini watu wanam- under estimate Pepe?
BurnleyBrighton anacheza na nani??