Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Msijifanye hamjamuona fundi odegaard pass moja amaizing kampa saka
Ndio maana nazungumzia wa sasa, sijui umenielewa hapo, siwezi ongelea vya baadae, sina ubavu wakujua kijacho.Saka mwenyewe hajamaster final third decision making but wote ni Young kings hawa. Angalia creativity vingine vinakuja na age.
In my opinion Maximin under Steve Bruce hawezi kuwa the same under Klopp/ Arteta.
Mnamchukiaga bure tu laca, hakuna asiyejua kuwa laca sio finisher mzuri, akiwa lyon alikuwa no.10,Sioni sababu ya kucheza na Lacazette pale mbele toa nje ingiza pepe halafu smith acheze false namba nine
Meanwhile Mikel Arteta makes football so easy even without a top centre forward.Stevie G naye honeymoon imeisha Katika mechi 5 zilizopita kakusanya alama 2 tu katika possible 15
Super Frankie nae trip site trip garage, jana kala chuma mbili kanisani pale St Mary's
This is EPL

Arteta ndo alizinguaTunataka tujue kama shida ilikuwa ni Auba au ujinga wa team nzima.
Fabian Ruiz hua namchukulia intimidating figure spesho kuhakikisha katikati hakuna moves za wapinzani zinapita. Kama kweli bei ni 16M ni deal poa plus ana uzoefu wa kucheza kwenye bigger stage.FABIAN RUIZ
"Arteta is a huge fan of the 25-year-old, who is said to want a four-year deal, and the asking price of £16m plus extras – his price tag was around £50m last summer – can only be described as a bargain."
Potential Xhaka replacement available for £16m
Next game is against Wolves.
Kisha Watford halafu Leicester.
Wolves akishinda leo atakua nafasi ya 7 kisha atakutana na sisi akiwa na morali na vision so atakuja kushinda.
Nafikiri hii ni game yetu ngumu kuliko hizo mbili zinazofuata.
Tuna kazi ngumu kiukweli
Sidhani kama yule kocha wao ataishi maisha marefu pale.Naangalia wolves vs Leicester, wolves wapo vizuri, itakuwa mechi ngumu
hiyo game tunamuhitaji smith rowe kwa ajiri ya kufungua low block,na yupo haraka sana kutafsiri mchezo hasa kwenye final third, kufanya third runner, smith akipokea mipira ndani ya sekunde ameshaingia kwenye half space, wolves now wanacheza 3-5-2Next game is against Wolves.
Kisha Watford halafu Leicester.
Wolves akishinda leo atakua nafasi ya 7 kisha atakutana na sisi akiwa na morali na vision so atakuja kushinda.
Nafikiri hii ni game yetu ngumu kuliko hizo mbili zinazofuata.
Tuna kazi ngumu kiukweli